Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nimecheka kwa sauti mpaka nimekuja kuulizwa nacheka nini, ila we mpare 🤣 🤣Nitaugua kipindupindu lini mana mpaka sasa nna miaka 6 namnyonya tuu
Hana, namuamini.Vip kama akiw na mchepuko alaf nae ananyonywa unaponyonyeaga
Wote ni waaminifu!Kama nyote niwaaminifu kwenye mahusiano yenu ruksa ila kama mmoja wenu au wote wawili mna michepuko ni hatari kwa afya yenu
Huwa unanyonya papuchi?Basi ujawahi kupenda mama
Mpaka sasa nishaamin dunia ya leo kujihakikishia kwmb hana mchepuko ni hatar.Sio jambo baya kama mwenza wako ni muaminifu ila ni mbaya kama mwenza wako ana mchepuko au michepuko
Tofautisha mahaba na drama za watoto!Siyo kwamba hujui mahaba mkuu??
Ubish ukianza Niko upande wako mkuu, vingine vipite tu kama usafir wa mtumbwi kwangNimekubali vingine vinipite
Ni kweli mkuu.Ndio maana nikasema ni wewe na akili yako itakavyotaka. Mwisho wa siku, mambo ya faraghani hayashauriki kwa sababu kila mtu anafanya vile anavyoona ni sawa.
Na ukiyafikiria sana hayo hutoweza share hata vijiko na mashuka ya hotelini mkuu.
Unamuamin ni muaminifu ila omba iwe kweli mkuuNimecheka kwa sauti mpaka nimekuja kuulizwa nacheka nini, ila we mpare
SWALI JE HUWA UNAMBUSU MKE WAKO? NASEM KE NA HUWA UNALALA NAYE NA KUZAA NAYE/Sijui kama ntakuwa nawakera ila nimemuona rafk yang jiran anapokea mswak aliotumi mpenziwe nayey kuutumia
AU NIACHE KUFATILIA MAMBO YA WATU?
Napenda kuona ukifurahi.Nimecheka kwa sauti mpaka nimekuja kuulizwa nacheka nini, ila we mpare 🤣 🤣
Haupo romantik mkuuHapana mimi naona si sawa, acha ninuke mdomo kama hamna option nyingine
Sasa mtu hatak mshare mswaki Ila huyo huyo mnasex, hapo unaruka mavi ili ukanyage mavi 😂Possibility ya kupata waya
Kama ni mkubwa labda miaka 43 hv bado ana utotoTofautisha mahaba na drama za watoto!
Niliwah kuwa na demu nae hataki romance wala hatak nmnyonye huko chini wakat mm ndo ugonjwa wangu huo, ila maziwa fresh anakubali nmnyonye.Sijawahi kufanya naona kinyaa
Vikojoleo t mkuuSWALI JE HUWA UNAMBUSU MKE WAKO? NASEM KE NA HUWA UNALALA NAYE NA KUZAA NAYE/
Ila kushare kikojoleo na mdomo ni sawa?Hapana mimi naona si sawa, acha ninuke mdomo kama hamna option nyingine😁
Aise nimekuamini tu 😂Niamini mm mkuu 😎