Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
 
Let's say Kuna mtandao wa watu fulani fulani wanafanya mambo maovu halafu ndo bado mpo kwenye upelelezi au ndo mnataka kuwakamata na wewe ndo kiongozi husika ktk sekta hiyo.. Sasa nenda kalewe au kafinyiwe kwa ndani huko then ubwage hiyo Siri Kama utakamata mtu sasa..😂

Mbali na hizo Kuna Siri nyengine ni zakulinda mtu uhai wake mfano rais kamtuma mtu au kikosi fulani kikapeleleze sekta fulani halafu uchunguzi bado haujakamilika we ushasema nimetuma watu uone watu wanavyoficha makaratasi.. na hao uliowatuma unaweza ukasababisha washitukiwe na wapigwe hata marisasi ya mabichwa!

Yapo mambo mengi sana you just imagine mmoja wa wana ndugu yenu familia nzima tu ikajua kuwa huyu ni mwanausalama! Huo umbea wataupata mpk majirani na Kama Kuna jirani ni mmbaya anajihusisha na ugaidi au ujambazi ipo siku mtasikia ndugu yenu kapotea pasipofahamika .. ndugu Kuna mambo ni heri yaminywe tu.
 
mfano ushahidi kuwa Lisu kanunuliwa na mabeberu ukiwekwa mezani
 
Kwa akili yako ndogo hizo ndiyo siri za serikali? kwanini hawataki VOTE ya ikulu ikaguliwe?
 
Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
Unataka wazitoe ili wakamatike?
 
Utafikiri umeambiwa hapa kunamashindano ya akili..😂

Ndugu tulia kila mmoja aandike komenti yake.
Kenzy umeandika jambo nililokua nafikiria muda mrefu..kuna members humu KAZI Yao ni kuwabeza wachangiaji wengine..binafsi nadhani kama kuna member kaandika jambo lisilo sahihi, wewe unayejua andika sahihi bila kumbeza aliyeandika Kwa uchache kutokana na ufahamu wake..hakuna sababu ya kubeza..Sisi sote ni marafiki ambao tunazidiana uwezo wa kufikiri na kuchambua Mambo..TUJENGANE.
 
kuna repoti za kimahusiano nje ya nchi.

kuna repoti za kiusalama ndani na nje.

kuna maagizo yanatakiwa au yalitekelezwa kwa nia fulani ya kitaifa.
 
Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
Umeshaambiwa ni siri sasa hapo unataka nini tena...?
 
Mtoa mada uko on spot, siri za ubaya wao hakuna jipya serikali badala ya kuapa kuwa wa wazi wanaapa kutunza siri hata Rais wa dunia USA anaapa kutunza katiba ya nchi huku kila mtu mtunza siri.
 
TAKUKURU, TISS ndiyo wanaojua vizuri kwanini viongozi huwa wanakula hicho kiapo.
 
Kenzy umeandika jambo nililokua nafikiria muda mrefu..kuna members humu KAZI Yao ni kuwabeza wachangiaji wengine..binafsi nadhani kama kuna member kaandika jambo lisilo sahihi, wewe unayejua andika sahihi bila kumbeza aliyeandika Kwa uchache kutokana na ufahamu wake..hakuna sababu ya kubeza..Sisi sote ni marafiki ambao tunazidiana uwezo wa kufikiri na kuchambua Mambo..TUJENGANE.
Hawa wengine wakuwapotezea tu ndugu
 
Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
siri zipo nyingi tu. nyingi sana. ww ambae uuko nje ya system hutofahamu. na atakae vujisha kavunja miiko ya kazi
 
mfano ushahidi kuwa Lisu kanunuliwa na mabeberu ukiwekwa mezani
haha vile hawampendi. wangeshaweka siku nyingi. tena wangetupia social media.

lakin ndio hivyo imebaki story za kusadikika. hakuna mwenye ushahid
 
Back
Top Bottom