Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

Siri zinatunzwa kuanzia ndani,wewe siri zako unazianika hadharani?
Kama zako hutaki watu wajue,kwa Nini unataka za taifa ziwe Wazo?
Siri zao za ndani watunze tu za Taifa sio siri zako wala humiliki taifa wewe uko hapo kufanya maamuzi kwa ajili yetu sio mambo binafsi umechaguliwa kwa niaba yetu. siri za kiusalama ni cycle ndogo sana serikalini wanapewa brief hiyo ikae siri maana hata mawaziri hawapewi details hizo. Sasa mpaka mkuregenzi anaficha siri, siri gani hizo serikali katika kuendesha mambo inatakiwa kuwa na uwazi mbona kwenye kampeni wanapiga kelele bado kwenye maspeaker, ukichaguliwa ndio unafanya siri? nitajie nchi za wenzetu huko wakiapa wanasema nitaficha siri?
 
Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
Swali lako lipo reasonable
 
Siri zinatunzwa kuanzia ndani,wewe siri zako unazianika hadharani?
Kama zako hutaki watu wajue,kwa Nini unataka za taifa ziwe Wazo?
"I do solemnly swear (or affirm) that I will faithfully execute the Office of President of the United States, and will to the best of my Ability, preserve, protect and defend the Constitution of the United States". Hichi kiapo cha Rais mkubwa duniani wa USA, hakuna siri ila kuilinda katiba ya nchi.
 
Siri zinatunzwa kuanzia ndani,wewe siri zako unazianika hadharani?
Kama zako hutaki watu wajue,kwa Nini unataka za taifa ziwe Wazo?
"President of the Republic of Kenya, do swear/solemnly affirm that I will be faithful and bear true allegiance to the Republic of Kenya; that I will obey, preserve, protect and defend this Constitution of Kenya, as by law established, and all other laws of the Republic; and that I will protect and uphold the sovereignty, integrity and dignity of the people of Kenya. (In the case of an oath–– So help me God.)" Hawa jirani zetu Kenya hakuna kitu siri, siri ya nini wote wanaapa kuilinda katiba na kuheshimu sheria za nchi na kulinda mipaka ya nchi hakuna ujinga natunza siri, siri nyumbani kwako hapo wakati ni public office umechaguliwa tu
 
Back
Top Bottom