The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Kwa akili yako ndogo hizo ndiyo siri za serikali? kwanini hawataki VOTE ya ikulu ikaguliwe?Let's say Kuna mtandao wa watu fulani fulani wanafanya mambo maovu halafu ndo bado mpo kwenye upelelezi au ndo mnataka kuwakamata na wewe ndo kiongozi husika ktk sekta hiyo.. Sasa nenda kalewe au kafinyiwe kwa ndani huko then ubwage hiyo Siri Kama utakamata mtu sasa..😂
Mbali na hizo Kuna Siri nyengine ni zakulinda mtu uhai wake mfano rais kamtuma mtu au kikosi fulani kikapeleleze sekta fulani halafu uchunguzi bado haujakamilika we ushasema nimetuma watu uone watu wanavyoficha makaratasi.. na hao uliowatuma unaweza ukasababisha washitukiwe na wapigwe hata marisasi ya mabichwa!
Yapo mambo mengi sana you just imagine mmoja wa wana ndugu yenu familia nzima tu ikajua kuwa huyu ni mwanausalama! Huo umbea wataupata mpk majirani na Kama Kuna jirani ni mmbaya anajihusisha na ugaidi au ujambazi ipo siku mtasikia ndugu yenu kapotea pasipofahamika .. ndugu Kuna mambo ni heri yaminywe tu.
Utafikiri umeambiwa hapa kunamashindano ya akili..😂Kwa akili yako ndogo hizo ndiyo siri za serikali? kwanini hawataki VOTE ya ikulu ikaguliwe?
Tuna taka hoja zenye mashiko na siyo maigizoUtafikiri umeambiwa hapa kunamashindano ya akili..😂
Ndugu tulia kila mmoja aandike komenti yake.
Unataka wazitoe ili wakamatike?Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
Kenzy umeandika jambo nililokua nafikiria muda mrefu..kuna members humu KAZI Yao ni kuwabeza wachangiaji wengine..binafsi nadhani kama kuna member kaandika jambo lisilo sahihi, wewe unayejua andika sahihi bila kumbeza aliyeandika Kwa uchache kutokana na ufahamu wake..hakuna sababu ya kubeza..Sisi sote ni marafiki ambao tunazidiana uwezo wa kufikiri na kuchambua Mambo..TUJENGANE.Utafikiri umeambiwa hapa kunamashindano ya akili..😂
Ndugu tulia kila mmoja aandike komenti yake.
Umeshaambiwa ni siri sasa hapo unataka nini tena...?Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
Lissu alikupakua nini?mfano ushahidi kuwa Lisu kanunuliwa na mabeberu ukiwekwa mezani
Hawa wengine wakuwapotezea tu nduguKenzy umeandika jambo nililokua nafikiria muda mrefu..kuna members humu KAZI Yao ni kuwabeza wachangiaji wengine..binafsi nadhani kama kuna member kaandika jambo lisilo sahihi, wewe unayejua andika sahihi bila kumbeza aliyeandika Kwa uchache kutokana na ufahamu wake..hakuna sababu ya kubeza..Sisi sote ni marafiki ambao tunazidiana uwezo wa kufikiri na kuchambua Mambo..TUJENGANE.
siri zipo nyingi tu. nyingi sana. ww ambae uuko nje ya system hutofahamu. na atakae vujisha kavunja miiko ya kaziNatamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
haha vile hawampendi. wangeshaweka siku nyingi. tena wangetupia social media.mfano ushahidi kuwa Lisu kanunuliwa na mabeberu ukiwekwa mezani