Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

Siri -kali -gover-ment maneno haya yalitokana na muundo wa uendeshaji nchi kwa maana kuna mambo ambayo katika kuendesha nchi yanapaswa yawe siri kwa kuwa yanalinda usalama wa nchi dhidi ya maadui nje ya nchi na ndani ya nchi lakini hawamaanishi mambo ya kawaida.
 
Siri wanazo watu Kama 5 tu,
1,papaa mopao
2, assistant mopao
3.mopao de island
4.private message
Wengine wote,Cha mtoto tu
 
Kuna utaratibu wa kufanya declassification kwenye nchi hii??
 
Kuna utaratibu wa kufanya declassification baada ya muda fulani kupita kama zinavyofanya nchi nyingine za kidemokrasia??
kuna repoti za kimahusiano nje ya nchi.

kuna repoti za kiusalama ndani na nje.

kuna maagizo yanatakiwa au yalitekelezwa kwa nia fulani ya kitaifa.
 
Kuna utaratibu wa kuziachia hizi siri kwa umma "declassification" baada ya muda fulani kupita??
Umeshaambiwa ni siri sasa hapo unataka nini tena...?
 
Kuna utaratibu wa kufanya declassification ya hizo siri?
siri zipo nyingi tu. nyingi sana. ww ambae uuko nje ya system hutofahamu. na atakae vujisha kavunja miiko ya kazi
 
Sasa ukifahamu mifano ya siri hiyo utakuwa siri Tena?
 
Mtoa mada uko on spot, siri za ubaya wao hakuna jipya serikali badala ya kuapa kuwa wa wazi wanaapa kutunza siri hata Rais wa dunia USA anaapa kutunza katiba ya nchi huku kila mtu mtunza siri.
Siri zinatunzwa kuanzia ndani,wewe siri zako unazianika hadharani?
Kama zako hutaki watu wajue,kwa Nini unataka za taifa ziwe Wazo?
 
Mkuu hayo mambo huwa ni magumu anaweza ukaijua siri Fulani hiyo hiyo tena ikakuangamiza.kubeba siri nzito napo maana take ni Kujihatarisha maisha yako muda wowote kwa njia moja uanaweza kuwa kikwazo hata kwa wewe kutoisema mahala popote.
Watu wengi wameondoka hapa duniani kwa kujua tu mambo Fulani na hawajawi kuyaongea mahala popote.

Ushauri wangu Mara 100 uwe mlopokaji kila moja akujue were ni mlopokaji jambo litakalo kuepusha kupewa siri yoyote na MTU.

Ingawa napo kuna hasara zake maana utajiri na mafanikio yapo katika kitu kinaitwa SIRI.
 
umeuliza swali ambalo ukweli,huwezi kupewa jibu.hakuna atakaye weka bayana ,hivi vitu ni Siri na viko ndani ya viapo vya rank za juu.hivyo potesea hii kitu mkuu.
 
Mkuu nijuavyo Mimi kutokana fikra na niliyoyaona ni kwamba kuna vitu lazma vifanyike kwa maendeleo ya umma iwe kwa uzuri au ubaya mfano kuna watu kwenye system ya uongozi huwezi kuwaacha wakaharibu nchi hawa ni catalysts ambao wana ushawishi na nguvu katika makundi na mazingira hivyo bila kuathiri mazingira/jamii propaganda zinafanyika kwa maslai ya umma ikizidi sana hata kuuliwa au kufanyiwa vitu vya kusumbua psychology ya MTU au watu ili kukomesha hii nguvu hii ni siri hutaiskia ikizungumzwa popote,wenye nyazfa kubwa mfano jeshini endapo utaamua kujiondoa kwa ulazima katika jeshi na ukawa unajua vitu vya kuleta athari waweza chomwa sindano hata ya uchizi,pia katika usalama wa taifa endapo kuna tukio lakuchunguzwa pahala ataletwa MTU anayeendana na hayo mazingira mfano fundi viatu,mlevi,kichaa,mchoma mahindi...na akimaliza uchunguzi atapelekwa sehemu nyingine pasipo kujulikana na yeyote.....hizi ni baadhi ya siri nimeziona katika movies za intelligencia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…