binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
yenyewe πYaani nipo hoves mjukuu wangu
Mambo ni magumu japo sio koteWakuu, especially waajiriwa wa serikali.
Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana.
Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi za masaa za ziada hazilipwi.
Okay, sasa sijui pesa ipo wengine tunabaniwa tuliopo chini au Taasisi zote sahivi zimebaniwa hela?
Nimechoka kushinda kwenye uzi wa Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
Mliojiajiri karibuni kunitukana!
Sahihi kabisa. Jamaa alionesha kuumizwa sana!Hahaha yule aliowataja DVC na VC sijui?
Kaka we acha tu! Unafahamu ile clip bibi mmoja anasema βWe niache tu nachanganyikiwa mjukuu wangu β
π
Kazi ni mpaka wa akili yako, hadi ufukuzwe kazi ndio utambue kipaji chako
Mshahara umejaa makato, biashara zimejaa mapato...
Duh ni balaaNinapofanyia kazi mimi umeme umekatika mwezi sasa
We Jamaa miyeyusho sanaππ€£Na zile gari zako kalikali utaweza vipi kununua wese??
Ooh enewei kumbe wewe unatumia sana zile hybrid unaswich unatumia kibatari cha mzungu.
Changamka Mad MaxMuda na umri sio rafiki mzee. Hapa ata kiwanja hamna.
Hii ndio ila maana ya maneno,kua uyaone mwanangu.π π π π π pole ndiyo ukubwa huo, unakumbuka wazazi wako, ukiwa mdogo. Ukiomba hela, wanasema hawana ndiyo hivi πππ
By the way, Taasisi gani hiyo imefulia hivyo?
Ume nikumbusha marehemu mzee wangu, nili kuwa niki mtembelea tuna kula bata Sana..
Ni vizuri sana kuwa na ndoto, jitihada, bidii, maarifa na kila aina ya ubunifu kwenye kutafuta pesa, ila hakikisha afya yako, furaha yako, amani yako na uhuru wako hauathiriki kwa namna yeyote ile, hapo sijaongelea heshima yako.
afike hadi nanjilinji kwa kina raisi wa ma jobless pro max π€£πSiku moja pitiliza mpaka mikoa ya kusini
Kumbe we ni wahuko? Basi ndio maanaafike hadi nanjilinji kwa kina raisi wa ma jobless pro max π€£π
naam, a boy from nanjilinji π π€£ πKumbe we ni wahuko? Basi ndio maana
Kasongo mbona weweoooooooSasa unataka nifukuzwe kabisa na kazi eeh .
Mr President wa majobless promaxnaam, a boy from nanjilinji π π€£ π
Ndio maana kama dakika 2 mbele hiviπnaam, a boy from nanjilinji π π€£ π
naam ma jobless pro max stand upπ€£Mr President wa majobless promax
There's no genius, without some touch of madness.Ndio maana kama dakika 2 mbele hiviπ