Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Vumilia tu hakuna namna mkuuDah man, tatizo mshahara makato kama mia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia tu hakuna namna mkuuDah man, tatizo mshahara makato kama mia.
Kaka we acha tu! Unafahamu ile clip bibi mmoja anasema “We niache tu nachanganyikiwa mjukuu wangu “Mdogo wangu umekula?
inasemekana kibaba kimeshaanza kukauka tena. poleni wafanyakazi wa ummaWakuu, especially waajiriwa wa serikali.
Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana.
Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi za masaa za ziada hazilipwi.
Okay, sasa sijui pesa ipo wengine tunabaniwa tuliopo chini au Taasisi zote sahivi zimebaniwa hela?
Nimechoka kushinda kwenye uzi wa Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
Mliojiajiri karibuni kunitukana!
Hadimu❎Wakuu, especially waajiriwa wa serikali.

Matumizi makubwa yanategemea na kipato chako. Matumizi makubwa kwa mtu A ni matumizi ya kawaida au madogo kwa mtu BKiongozi kwenda Century Cinemax , kupata kapizza na krussher ni matumizi makubwa?
Hapo kwenye kupanga matumizi/ budget Kwa kutegemea posho nimekuelewa sana. Usiipangie matumizi pesa ambayo Bado haujaikamata.
Kwahio mzee ile trip ya sgr iligonga mwamba?Pamoja man. Kitaeleweka tu.
we mzee, si useme tu ni pale Jalalani! Kuna mwamba ameleta uzi hapa nadhani ni jana au juzi akilalamika kuwa hawaalipwa stahiki zao takriban mwaka sasa.Sasa unataka nifukuzwe kabisa na kazi eeh .
Yaani nipo hoves mjukuu wanguKaka we acha tu! Unafahamu ile clip bibi mmoja anasema “We niache tu nachanganyikiwa mjukuu wangu “
😂