Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi makubwa yanategemea na kipato chako. Matumizi makubwa kwa mtu A yanaweza kuwa matumizi ya kawaida au madogo kwa mtu B.Kiongozi kwenda Century Cinemax , kupata kapizza na krussher ni matumizi makubwa?
Hapo kwenye kupanga matumizi/ budget Kwa kutegemea posho nimekuelewa sana. Usiipangie matumizi pesa ambayo Bado haujaikamata.
Well said.Matumizi makubwa yanategemea na kipato chako. Matumizi makubwa kwa mtu A yanaweza kuwa matumizi ya kawaida au madogo kwa mtu B.
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali.
Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana.
Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi za masaa za ziada hazilipwi.
Okay, sasa sijui pesa ipo wengine tunabaniwa tuliopo chini au Taasisi zote sahivi zimebaniwa hela?
Nimechoka kushinda kwenye uzi wa Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
Mliojiajiri karibuni kunitukana!
Nchi kufunguka sio kuongezeka posho za semina, warsha na vikao....😂😂😂Lakini tuliambiwa nchi imefunguka!
Au walimaanisha kuboresha malisho ya wenye kamba ndefu?Nchi kufunguka sio kuongezeka posho za semina, warsha na vikao....😂😂😂
Ajira maana yake uko kwenye kifungo cha hiari lkn unaruhusiwa jioni kuja kuonana na familia na kumla mkeo, then kesho yake unarejea gerezani.Wakuu, especially waajiriwa wa serikali.
Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana.
Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi za masaa za ziada hazilipwi.
Okay, sasa sijui pesa ipo wengine tunabaniwa tuliopo chini au Taasisi zote sahivi zimebaniwa hela?
Nimechoka kushinda kwenye uzi wa Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?
Mliojiajiri karibuni kunitukana!
Kuongezeka kwa fursa za kiuchumiAu walimaanisha kuboresha malisho ya wenye kamba ndefu?
Naelewa kiongozi, hata hivyo haipo siku wajumbe watapita kutugongea milango ukifungua, unapewa bahasha yenye misimbazi.Kuongezeka kwa fursa za kiuchumi
Kabisa mkuu,Naelewa kiongozi, hata hivyo haipo siku wajumbe watapita kutugongea milango ukifungua, unapewa bahasha yenye misimbazi.
Mapambano yaendelee
Umeongea ukweli. Yaani nikiangalia ratiba yangu ya week, ni home job sometimes j1 na j2 naenda job.Ajira maana yake uko kwenye kifungo cha hiari lkn unaruhusiwa jioni kuja kuonana na familia na kumla mkeo, then kesho yake unarejea gerezani.
Ukizeeka wanakuweka huru na unapewa pesa ya kwenda kujimaliza🤣🤣🤣
Utendaji wa kazi unashuka man. Sema tunakomaa tu kwakua tunawatumikia wanyonge.Wenyewe wanakuambia posho sio haki yako , baadhi ya taasisi hamna safari zimefutwa ni mwendo wa zoom meeting kwenda mbele ...Nina mwaka wa pili sijaenda safari ya kikazi yaani ni tabu tupu .
Niliajiriwa miaka 5 tu.Umeongea ukweli. Yaani nikiangalia ratiba yangu ya week, ni home job sometimes j1 na j2 naenda job.
Siku moja pitiliza mpaka mikoa ya kusiniPosta Mbagala x 364 na robo.
Unawatumikia WANYONGE GANI MAN🤣🤣🤣Utendaji wa kazi unashuka man. Sema tunakomaa tu kwakua tunawatumikia wanyonge.