Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakao kusapoti hapa wengi wao wanawake....... Umiza ndonga mzee wanawake tuanaishi nao kwa akiliNajisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi.
Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa limbwata na kuwa mume bwege. Hivi hii inakuwaje kwa jamii zetu za kiafrica?
Mbona wazungu au waarabu, wapemba wanafanya hivi? Kwangu binafsi na wivu balaa kwa wife inabidi nimsaidie tuu maana dah najua mwenyewe ninachokipata.
Asa hii imepelekea kusemwa kuwa mimi ni mume bwege, hivi kuna ubwege kumsaidia wife vikazi kazi?
Ninavyojua mimi, na ndivyo ilivyo upendo ni vitu wiwili vinaungana na kuwa kitu kimoja.. Yan hauzid Wala haupungui, hvyo Kama mkeo nafua alafu wewe unasuhuza na kuanika ni sawa kbs.. Kama wewe unapika Alf mkeo anaandaa mboga na viombo mezani ni sawa kbs.. Ila Kama unafanya hayo yote pekeako, Alf yeye ana chezea tu simu na kupiga umbea jirani.. naungana kikamilifu na kwa huzuni na hao wanaosema umelishwa libwata.Najisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi.
Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa limbwata na kuwa mume bwege. Hivi hii inakuwaje kwa jamii zetu za kiafrica?
Mbona wazungu au waarabu, wapemba wanafanya hivi? Kwangu binafsi na wivu balaa kwa wife inabidi nimsaidie tuu maana dah najua mwenyewe ninachokipata.
Asa hii imepelekea kusemwa kuwa mimi ni mume bwege, hivi kuna ubwege kumsaidia wife vikazi kazi?
Mkuu umemaliza, hapa ndo shida inapokuja.Kufua, kupika, kwenda sokoni, na vikazi kama hivyo sio mbaya ila tatizo linakuja hawa wenzetu hua wanageuza kua kama ka utaratibu ka lazima anakupangia na zam, usipofanya anavuta domo.
Kwahiyo utaamua sasa ufanye au usifanye
😂😂😂😂🙌🙌Mwanamke wangu ntamsaidia vitu ambavyo hawezi kwa mfano wanawake wanaogopa umeme. Kuna kumshushia vitu vya juu ya kabati ama kutengeneza kitu chochote kibovu! Kukata nyama labda ndio kitu ambacho sionagi shida!
Nje ya hayo labda awe anaumwa aisee.
haujawai niangusha 🤜Mwanamke wangu ntamsaidia vitu ambavyo hawezi kwa mfano wanawake wanaogopa umeme. Kuna kumshushia vitu vya juu ya kabati ama kutengeneza kitu chochote kibovu! Kukata nyama labda ndio kitu ambacho sionagi shida!
Nje ya hayo labda awe anaumwa aisee.