Hivi ni ubwege kumsaidia mke wako kufua, kupika na kwenda sokoni?

Ishi utakavyo wewe na si watakavyo watu
 
Watakao kusapoti hapa wengi wao wanawake....... Umiza ndonga mzee wanawake tuanaishi nao kwa akili

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ninavyojua mimi, na ndivyo ilivyo upendo ni vitu wiwili vinaungana na kuwa kitu kimoja.. Yan hauzid Wala haupungui, hvyo Kama mkeo nafua alafu wewe unasuhuza na kuanika ni sawa kbs.. Kama wewe unapika Alf mkeo anaandaa mboga na viombo mezani ni sawa kbs.. Ila Kama unafanya hayo yote pekeako, Alf yeye ana chezea tu simu na kupiga umbea jirani.. naungana kikamilifu na kwa huzuni na hao wanaosema umelishwa libwata.
 
Kufua, kupika, kwenda sokoni, na vikazi kama hivyo sio mbaya ila tatizo linakuja hawa wenzetu hua wanageuza kua kama ka utaratibu ka lazima anakupangia na zam, usipofanya anavuta domo.

Kwahiyo utaamua sasa ufanye au usifanye
Mkuu umemaliza, hapa ndo shida inapokuja.
Mke anahisi huo ni wajibu wako, kumbe ulikuwa unamfanyia hisani 2
 
Mwanamke wangu ntamsaidia vitu ambavyo hawezi kwa mfano wanawake wanaogopa umeme. Kuna kumshushia vitu vya juu ya kabati ama kutengeneza kitu chochote kibovu! Kukata nyama labda ndio kitu ambacho sionagi shida!

Nje ya hayo labda awe anaumwa aisee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mwanamke wangu ntamsaidia vitu ambavyo hawezi kwa mfano wanawake wanaogopa umeme. Kuna kumshushia vitu vya juu ya kabati ama kutengeneza kitu chochote kibovu! Kukata nyama labda ndio kitu ambacho sionagi shida!

Nje ya hayo labda awe anaumwa aisee.
haujawai niangusha 🀜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…