Hivi ni utamaduni wa hizi kazi wanaume kuwa malaya?

Hivi ni utamaduni wa hizi kazi wanaume kuwa malaya?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya:

Wajenzi wa nyumba
Wachimbaji wa madini
Wavuvi
Mafundi gereji
Mafundi simu
 
Wanawake Wasimbe huwa wengi sehemu za hizo kazi na Wafanyakazi hawaendi na Familia huko.
Pia wanawake hawapendi kulipola Cost za hizo huduma, Mafundi wajilipeje sasa?
Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya:

Wajenzi wa nyumba
Wachimbaji wa madini
Wavuvi
Mafundi gereji
Mafundi simu
 
Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya:

Wajenzi wa nyumba
Wachimbaji wa madini
Wavuvi
Mafundi gereji
Mafundi simu
Umalaya hauna kazi Wala biashara Fulani tu sema hizo kazi ambazo unahitaji ku interact na watu zaidi automatically unakua na option nyingi za wanawake/wanaume hivyo kuonekana Malaya.

Ni nadra kusema IT officer au Mhasibu kuwa Malaya sababu kubwa hawezi interact na watu wengi hivyo anakua na options chache za kudate!!
 
Back
Top Bottom