GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 790
- 2,049
Zana kubwa kabisa ni kibunda 💸💸💸
Nyundo pia zipo aina 2,kuna heavy duty ya kuoigia vyuma au mawe,au light duty ya kupigia misumari,kwangu zipo za aina zote hizo mbiliPower tools muhimu kwangu ni Screw driver ,Pliers na Nyundo. Katika hivyo nilivyotaja nyundo ndio sina
Ni sawa ila kuna muda mfano usiku maduka yamefungwa na unahitaji screwdriver utafanyaje?Zana kubwa kabisa ni kibunda 💸💸💸
Duuuh unataka ufungue duka????Ni kweli ngazi ni muhimu sana,sasa hapa naongezea vifaa vifuatavyo:
1.ngazi,hii ni kila mtu na uwezo wake kuna zile za kununua au za kutengeneza ama za mbao au chuma na ukijiweza uwe nazo 2,moja ndefu na moja ya wastani.Mimi ninazo 2 moja ya kutengeneza ni ndefu na moja ya kununua ni fupi.
2.Kompyuta na printa yake.Mimi ninayo desktop na hp printa ila kwa vijana wa sasa wana laptop au simu zenye uwezo wa bluetooth na printa yenye bluetooth hivyo zinafanya kazi vizuri tu.
3.Uwe na panchi ya kutoboa makaratasi na staple machine.
4.vifaa vya umeme: wireless multi plug na plug ambayo pia ina uwezo wa kuchaji simu
We ni fundi niniNyundo pia zipo aina 2,kuna heavy duty ya kuoigia vyuma au mawe,au light duty ya kupigia misumari,kwangu zipo za aina zote hizo mbili
Hapana,sijawahi kuwa fundi kabisa,lakini vitu vingi huwa nafanya mwenyewe,nikisaidiwa na AI.Isipokuwa nimekusanya hivyo vifaa kwasababu mara nyingi mafundi wanapokuja kutengeneza kitu,lazima hupungukiwa kifaa hiki ama kile,kitu kinachofanya kazi kuchelewa,ndiyo sababu nimekusanya kila kifaa.We ni fundi nini
Hapana ni vifaa vya kazi tuDuuuh unataka ufungue duka????
1.pangaSina umeme nyumbani, nyumba zangu nimeezeka kwa makuti interior kabisa huku,je natakiwa kuwa na vifaa gani?
Naaaaam sahihi kabisaNyumbani kwako ni muhimu uwe na vifaa hivi,kwani vinahitajika sana.
1.Star screw drivers kubwa na ndigo
2.Flatted screw drivers ndogo na kubwa
3.Tester ya umeme
4.Plier au plaiz
5.Nyundo
6.msumeno wa mbao
7.msumeno wa chuma
8.tupa inanolea vifaa vya chuma.
9.Futi
10.Jembe
11.Panga
12.Koleo
13.Shoka
14.Star na flatbed screws
15.Waya wa umeme japo mita 10
16.Spana ya kufungulia vifaa vya mabomba.
Hivyo vifaa uviweke kwa mpangilio wake na mwenza wako awe anajua.Kuna dharura inaweza kutokea na fundi akaja lakini akawa hana vifaa vyote,akikuulizia vifaa hivyo unampa.Utafurahia sana maisha maana kila dosari ikitokea itarekebishwa haraka.Na mara zote fundi akija jitahidi kuwa karibu yake kwenye kila kazi utakayompa ili uwe unajua dosari kadhaa wa kadhaa na namna ya kuzitatua.Mimi ndivyo navyoishi hapa kwangu ni kila kila aina ya vifaa na mafundi wakija kurekebisha kazi,huniuliza baba kuna kifaa hiki au kile nawaambia kipo nawaletea na kazi inafanyika.Hivi sasa mafundi wajenzi,mafundi umeme,mafundi wa magrili na mafundi wa aluminiamu wote ni rafiki zangu na wengi huniita baba,na wanapofanya kazi hata kwa majirani wakipungukiwa vifaa huja kwangu nami nawapa.Hivyo na wewe usomae hili bandiko iga mfano huu
From kuwa na hardware nyumbani to kuwa na stationary nyumbani. Good idea 👏👏Ni kweli ngazi ni muhimu sana,sasa hapa naongezea vifaa vifuatavyo:
1.ngazi,hii ni kila mtu na uwezo wake kuna zile za kununua au za kutengeneza ama za mbao au chuma na ukijiweza uwe nazo 2,moja ndefu na moja ya wastani.Mimi ninazo 2 moja ya kutengeneza ni ndefu na moja ya kununua ni fupi.
2.Kompyuta na printa yake.Mimi ninayo desktop na hp printa ila kwa vijana wa sasa wana laptop au simu zenye uwezo wa bluetooth na printa yenye bluetooth hivyo zinafanya kazi vizuri tu.
3.Uwe na panchi ya kutoboa makaratasi na staple machine.
4.vifaa vya umeme: wireless multi plug na plug ambayo pia ina uwezo wa kuchaji simu
Mfano juzi ilibidi kushona mashuka yaliyofumuka ilibidi nipeleke kwa fundi yupo jiraniKwa anayejiweza asikose cherehani na vitendea kazi vyake, pc na printer pamoja na gun
Umesema kweli kabisa na mimi huwa jioni wakimaliza kazi naomba wanikabidhi vifaa vyote kwanza kabla sijawalipaNinavyo vyote na ziada ila mafundi wa kibongo sasa
Usipokuwa makini wanapita navyo
Ita fundi we endelea kula mvinyo wkt yeye anafix, hiyo ndo nguvu ya hela mjomba 😀Ni sawa ila kuna muda mfano usiku maduka yamefungwa na unahitaji screwdriver utafanyaje?