Hivi ni vifaa muhimu kuwa navyo nyumbani kwako

Duuuh unataka ufungue duka????
 
We ni fundi nini
Hapana,sijawahi kuwa fundi kabisa,lakini vitu vingi huwa nafanya mwenyewe,nikisaidiwa na AI.Isipokuwa nimekusanya hivyo vifaa kwasababu mara nyingi mafundi wanapokuja kutengeneza kitu,lazima hupungukiwa kifaa hiki ama kile,kitu kinachofanya kazi kuchelewa,ndiyo sababu nimekusanya kila kifaa.
 
Kwa anayejiweza asikose cherehani na vitendea kazi vyake, pc na printer pamoja na gun
 
Mwanaume akikosa hivi vitu ndani, basi hao watoto alionao mkawapime DNA.
 
Naaaaam sahihi kabisa
 
From kuwa na hardware nyumbani to kuwa na stationary nyumbani. Good idea πŸ‘πŸ‘
 
Ninavyo vyote na ziada ila mafundi wa kibongo sasa
Usipokuwa makini wanapita navyo
Umesema kweli kabisa na mimi huwa jioni wakimaliza kazi naomba wanikabidhi vifaa vyote kwanza kabla sijawalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…