Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto.

Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi.

Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa.

Fumanizi huwa ni kipindi gani?
 
Nilimkuta njiani anacheka cheka na mwanaume huku akinyofoa nyofoa majani na kumtajia namba zake za simu... Nilipiga chini pale pale sikusubiri nimfume akiliwa mzigo.

NB: Usipoziba ufa, utajenga ukuta!
 
Kwani umefumania?Fumanizi Lina muda maalum?

Tayari amekupiga Cha mbavu? maana si kwa uwasilishaji huu aiseeh
 
Kisheria na Kwa haki kabisa, kufumania ni mpaka umkute mgoni wako juu ya bati akipaua.

Hapo ndio fumanizi. Mengine hayo ni wivu wivu tu wa kuendeshwa kihisia.
 
Back
Top Bottom