M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Nov 12, 2022 #1 Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
Vocal Fremitus JF-Expert Member Joined Oct 20, 2016 Posts 1,287 Reaction score 6,648 Nov 12, 2022 #2 Nilimkuta njiani anacheka cheka na mwanaume huku akinyofoa nyofoa majani na kumtajia namba zake za simu... Nilipiga chini pale pale sikusubiri nimfume akiliwa mzigo. NB: Usipoziba ufa, utajenga ukuta!
Nilimkuta njiani anacheka cheka na mwanaume huku akinyofoa nyofoa majani na kumtajia namba zake za simu... Nilipiga chini pale pale sikusubiri nimfume akiliwa mzigo. NB: Usipoziba ufa, utajenga ukuta!
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,084 Reaction score 15,998 Nov 12, 2022 #3 Kwani umefumania?Fumanizi Lina muda maalum? Tayari amekupiga Cha mbavu? maana si kwa uwasilishaji huu aiseeh
Kwani umefumania?Fumanizi Lina muda maalum? Tayari amekupiga Cha mbavu? maana si kwa uwasilishaji huu aiseeh
Amari JF-Expert Member Joined Nov 16, 2021 Posts 974 Reaction score 2,138 Nov 12, 2022 #4 Kisheria na Kwa haki kabisa, kufumania ni mpaka umkute mgoni wako juu ya bati akipaua. Hapo ndio fumanizi. Mengine hayo ni wivu wivu tu wa kuendeshwa kihisia.
Kisheria na Kwa haki kabisa, kufumania ni mpaka umkute mgoni wako juu ya bati akipaua. Hapo ndio fumanizi. Mengine hayo ni wivu wivu tu wa kuendeshwa kihisia.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Nov 12, 2022 #5 Fumanizi,hata messages za mahaba ni usaliti tosha