Hivi nifenyeje ili nipate mood ya kusoma kwa bidii?

Hivi nifenyeje ili nipate mood ya kusoma kwa bidii?

na muda huu unahangaika mitandaoni wakati wenzako wako wanapiga msuli wa Lambert na Chamberlain
of coz i was studing few minutes ago .but it seem as am mood less thus thy am query regarding for
advice
 
mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava . na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa ......naomba ushauri wenu nifenyeje
Soma masomo ya darasani kwanza ufaulu vizuri mitihani.

Ukija huku mtaani ambapo ni lazima uje, utajipanga vizuri jinsi ya kusoma vitabu vingi zaidi...
 
Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa.

Naomba ushauri wenu nifenyeje
PCM unapata na muda wa kuzurura huku, hongera inaonekana wewe ni kichwa.
 
of coz i was studing few minutes ago .but it seems as am mood less thus why am query regarding for advice
Ungeandika tu kwa kiswahili kuliko hiki kiingereza kibovu. PCM haitaki chochote zaidi ya kukaza msuli. Hiyo simu achana nayo. Mitandao ya kijamii achana nayo. KINYUME NA HAYA NINAYOKUAMBIA TEGEMEA KUPATA SIFURI. Mimi pia nilisoma PCM.
 
Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa.

Naomba ushauri wenu nifenyeje
Hama shule.
 
Anza na kimojawapo, usipaniki wala nn

Cover, itavyoweza kukava utakavyoacha achana navyo.

Maana utafaulu kwa kile ulichojifunza sio kile ambacho hujajifunza.

Upo mkoa gani? Nikupatie hii kitu. Inaitwa Masala Kulangwa hahahahaaah! Experimental nootropic. Inaongeza udadisi. Na udadisi ndio akili....
20231022_232200.jpg

Weeh usipagawe, haya ni mafuta ya kupaka tu na sio dawa ya akili 🐱
 
Acha kuangalia pornograph acha masterbation within two weeks utakuwa umeanza kuregain strength. Huwezi kupata mental strength kwa kupiga punyeto alafu hapohapo unakula chakula cha shule
Hahahaha umepiga sehemu inayouma 😄
 
Back
Top Bottom