Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no!
Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha wanaishia kuninyali tu, huku 'wakinipandisha na kunishusha'.
Siwajulii au?!!!!!!! Nipeni mbinu basi nikatumie sehemu zingine sababu hapa kesho naondoka.
La kuambiwa changanya na lako.......JK.