Hivi nimedanganywa humu au? Wiki ya pili ndani ya Lindi sijafanikiwa kupata mwanamke!!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no!

Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha wanaishia kuninyali tu, huku 'wakinipandisha na kunishusha'.

Siwajulii au?!!!!!!! Nipeni mbinu basi nikatumie sehemu zingine sababu hapa kesho naondoka.

La kuambiwa changanya na lako.......JK.
 
Nachingwea apa nina Week sijaambulia chochote...Nasikiaga mikoa ya kusini pisi zinakutaka zenyewe kumbe uongo
 
Sema unapatikana wapi afike sasa hivi mpaka mlangoni
 
Hela unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…