PAYE JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 459 Reaction score 644 Sep 28, 2026 #1 Mdau Je, wewe huwa unaanza na kipi kati ya hivi ukiamka asubuhi?
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,310 Reaction score 13,098 Sep 28, 2026 #2 Mimi naanza na Maombi/dua/Sala
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,760 Reaction score 5,144 Sep 28, 2026 #3 Mbona maombi hujaweka mkuu.....
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 Sep 28, 2026 #4 Kila mmoja atakuwa na majibu yake Binafsi naanza na 1,2,4 then 3 Kifungua kinywa napata baada ya kumaliza kuvaa kwaajili ya kutoka Wapi wengine huanza na 3, then 1,2,4
Kila mmoja atakuwa na majibu yake Binafsi naanza na 1,2,4 then 3 Kifungua kinywa napata baada ya kumaliza kuvaa kwaajili ya kutoka Wapi wengine huanza na 3, then 1,2,4
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,020 Reaction score 2,451 Sep 28, 2026 #5 Kwa akili timamu inabidi unywe kwanza chai ndio upige mswaki
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,760 Reaction score 5,144 Sep 28, 2026 #6 Mufti kuku The Infinity said: Mimi naanza na Maombi/dua/Sala Click to expand... Mkuu tofauti ya maombi, dua na sala ni nini?
Mufti kuku The Infinity said: Mimi naanza na Maombi/dua/Sala Click to expand... Mkuu tofauti ya maombi, dua na sala ni nini?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,721 Reaction score 98,896 Sep 28, 2026 #7 Mbona sofascore haipo hapo mzee
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,367 Reaction score 11,604 Oct 1, 2026 #8 Mi naanza na 4, maake huwezi fanya hayo mengine ukiwa uchi
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Oct 1, 2026 #9 Mibasi mi sio mtu wa kawaida. Changu hakipo hapo.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,074 Reaction score 27,490 Oct 1, 2026 #10 Sijaona ratiba ya mazoezi hapo
Gabenus Member Joined Dec 20, 2015 Posts 27 Reaction score 24 Oct 1, 2026 #11 Asubuhi tu unaamka na kuanza kutafuta chakula jamani,duuh
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Oct 2, 2026 #12 Nikishtuka tu nashukuru kwa kuiona siku mpya na kuomba ulinzi na mafanikio ya siku mpya. Ni jambo ambalo halichukui hata dakika 2. Baada ya hapo ndio mambo mengine yanaendelea
Nikishtuka tu nashukuru kwa kuiona siku mpya na kuomba ulinzi na mafanikio ya siku mpya. Ni jambo ambalo halichukui hata dakika 2. Baada ya hapo ndio mambo mengine yanaendelea
HOLY SKANKA JF-Expert Member Joined Dec 30, 2025 Posts 1,178 Reaction score 2,131 Oct 2, 2026 #13 Sala,,,Push-Ups Zangu 100+,,Pumziko La Nusu Saa Then Maji Baridi Kujimwagia...!!
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,848 Reaction score 22,392 Oct 2, 2026 #14 - amka tandika kitanda -Piga push ups kadhaa -toka nje angalia usalama wa nyumbani kwako. -rudi ndani piga mswaki -oga -kunywa chai.. Hii ndy ratiba kamili ya mwanaume..
- amka tandika kitanda -Piga push ups kadhaa -toka nje angalia usalama wa nyumbani kwako. -rudi ndani piga mswaki -oga -kunywa chai.. Hii ndy ratiba kamili ya mwanaume..
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 9,121 Reaction score 20,814 Oct 2, 2026 #15 1: Chooni 2: Kupiga mswaki 3: Kuoga 4: Itategemea ni siku gani, chai iwe nyumbani au kazini.