Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

Wakati huo hisia za mlevi huwa active sana.
Ndio maana hata akimkumbuka marehemu baba huwa anaweza kuanza kulia tena upya kabisa.
Mnamwuliza vipi? Anakwambia niache niache!

Hata hisia za kusalitiwa akizikumbuka zinakuwa zipo juu sana wakati huo.
Anaweza kufanya revange ambayo mnajua alishasamehe kumbe ni kwa vike tu amekumbukia mazingira mabovu.
 
Sawa
 
Pombe inaondoa aibu na unafki inakufanya kuwa wewe halisi, even me nikilewa wala simsumbui shemeji yenu kukaa chuma mboga ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ