Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

Hasa mlevi akishafikia hatua hii
IMG-20250309-WA0008.jpg
 
Wakati huo hisia za mlevi huwa active sana.
Ndio maana hata akimkumbuka marehemu baba huwa anaweza kuanza kulia tena upya kabisa.
Mnamwuliza vipi? Anakwambia niache niache!

Hata hisia za kusalitiwa akizikumbuka zinakuwa zipo juu sana wakati huo.
Anaweza kufanya revange ambayo mnajua alishasamehe kumbe ni kwa vike tu amekumbukia mazingira mabovu.
 
Sawa
 
Pombe inaondoa aibu na unafki inakufanya kuwa wewe halisi, even me nikilewa wala simsumbui shemeji yenu kukaa chuma mboga 😹😹😹
 
Back
Top Bottom