lol...Kongosho sikuwezi
She's something else nakwambia lollol...Kongosho sikuwezi
lol...Kongosho sikuwezi
Hahahaaaa dearest ntabandukaje?Dadito naona leo hubanduki kwenye hii kona.Nifikishie ujumbe basi...bado nasubiri nafasi kwenye maboksi
Kongosho wewe ni aina yake, angalia tu usije kubadilika, just be yourself bana, thats it.Ha ha ha, ukiona hivyo
nimechoka kusikia maneno profesheno
khah! Utadhani tunataka kuunda meli.
My head is very light, not meant for heavy duties
Shurti kumfagilia rais ati...mchezo kutoka kijiji kimoja na rais!!!She's something else nakwambia lol
Khaaaa!usiseme kwa sauti ...Msimbe asije kusikia kuwa sijaenda..Nilichungulia kidogo tu.Lakn tareh maalumu ya mjadalani ni tarhe 27?au mm namisi kitu hapa??Hahahaaaa dearest ntabandukaje?
Usijali maombi yako nimeyaweka juu kabisa ili ayaone na kuyashughulikia mapema....
Aisee kama nakumis mis vile! Hujanipa updates ulishiriki mjadala wa Regia?
Kongosho wewe ni aina yake, angalia tu usije kubadilika, just be yourself bana, thats it.
Umeona eeh!!Ha ha ha, ukiona hivyo
nimechoka kusikia maneno profesheno
khah! Utadhani tunataka kuunda meli.
My head is very light, not meant for heavy duties
tunaweza kusema your english is a product ya Shebby Robby...zaidi kuliko kubeba box??????
Shurti kumfagilia rais ati...mchezo kutoka kijiji kimoja na rais!!!
Shurti kumfagilia rais ati...mchezo kutoka kijiji kimoja na rais!!!
Nakubaliana na wewe, ndo maana kuna watu wamejikana majina yao humu, mfano Nape na Pasco, wanadai humu JF si wao, so unaweza kuona jinsi JF inavyochukuliwa na members wengi, siyo that serious, ni kijiwe tu unachoweza kusema pretty much chochote kuhusu lolote, and so therefore nakubaliana na wewe.Ha ha ha ha
sipendi kabisa kutumia akili nyingi nikiwa jf
ndo maana nikaweka makazi hapa
huwa nawaonea huruma kule jukwaa la siasa.
I am too old to change.
Nakusemea kwa Mtsimbe aisee...Khaaaa!usiseme kwa sauti ...Msimbe asije kusikia kuwa sijaenda..Nilichungulia kidogo tu.Lakn tareh maalumu ya mjadalani ni tarhe 27?au mm namisi kitu hapa??
Ooh, i think I am the one missing smthing here...Khaaaa!usiseme kwa sauti ...Msimbe asije kusikia kuwa sijaenda..Nilichungulia kidogo tu.Lakn tareh maalumu ya mjadalani ni tarhe 27?au mm namisi kitu hapa??
Khaa mtanikondesha mwana wa mwenzenu, jitihada zote hizi bado tu mnataka niongeze bidii? Hamjaona ?Ha ha ha
tena wewe ndo una hatari
undugu wako umeungwa na mahari
tukizidai mahari you are finished
bora mie sijui mdogo, sijui ni dada, au kaka yake hawezi kunikataa.
Komaa, mpigie debe ili mawifi na shemeji tuendelee kukupenda.
kumbe wametoka ukoo mmoja aisee hongera zake
Samahani sijui kama ulinijibu the last time i asked you, huyo ni wewe?lol shebby robby..... Umenikumbusha mbali saaana...