Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Naona Rais anashuka jukwaani baada ya hotuba, na maswali ya papo kwa hapo kwa takribani masaa 3.

Baada ya hapo kutakuwa na dhifa pale ikulu ndogo ya Ikungu.
Waalikwa mfike na vitambulisho vyenu.

Namuona, komba wa wabeba mabox anaanzisha wimbo wa kumtoa raisi jukwaani

Baba baba baba
baba huyo 4X
 
Dadito naona leo hubanduki kwenye hii kona.Nifikishie ujumbe basi...bado nasubiri nafasi kwenye maboksi
Hahahaaaa dearest ntabandukaje?
Usijali maombi yako nimeyaweka juu kabisa ili ayaone na kuyashughulikia mapema....
Aisee kama nakumis mis vile! Hujanipa updates ulishiriki mjadala wa Regia?
 
Ha ha ha, ukiona hivyo
nimechoka kusikia maneno profesheno

khah! Utadhani tunataka kuunda meli.
My head is very light, not meant for heavy duties
Kongosho wewe ni aina yake, angalia tu usije kubadilika, just be yourself bana, thats it.
 
Hahahaaaa dearest ntabandukaje?
Usijali maombi yako nimeyaweka juu kabisa ili ayaone na kuyashughulikia mapema....
Aisee kama nakumis mis vile! Hujanipa updates ulishiriki mjadala wa Regia?
Khaaaa!usiseme kwa sauti ...Msimbe asije kusikia kuwa sijaenda..Nilichungulia kidogo tu.Lakn tareh maalumu ya mjadalani ni tarhe 27?au mm namisi kitu hapa??
 
Ha ha ha ha
sipendi kabisa kutumia akili nyingi nikiwa jf
ndo maana nikaweka makazi hapa

huwa nawaonea huruma kule jukwaa la siasa.

I am too old to change.

Kongosho wewe ni aina yake, angalia tu usije kubadilika, just be yourself bana, thats it.
 
Ha ha ha, ukiona hivyo
nimechoka kusikia maneno profesheno

khah! Utadhani tunataka kuunda meli.
My head is very light, not meant for heavy duties
Umeona eeh!!
Halafu basi meli yenyewe iundwe isimame...wapi! Aaah heri tuendelee kujiwia light weight tu ka hivi
 
Ha ha ha
tena wewe ndo una hatari
undugu wako umeungwa na mahari
tukizidai mahari you are finished

bora mie sijui mdogo, sijui ni dada, au kaka yake hawezi kunikataa.

Komaa, mpigie debe ili mawifi na shemeji tuendelee kukupenda.
Shurti kumfagilia rais ati...mchezo kutoka kijiji kimoja na rais!!!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Ha ha ha ha
sipendi kabisa kutumia akili nyingi nikiwa jf
ndo maana nikaweka makazi hapa

huwa nawaonea huruma kule jukwaa la siasa.

I am too old to change.
Nakubaliana na wewe, ndo maana kuna watu wamejikana majina yao humu, mfano Nape na Pasco, wanadai humu JF si wao, so unaweza kuona jinsi JF inavyochukuliwa na members wengi, siyo that serious, ni kijiwe tu unachoweza kusema pretty much chochote kuhusu lolote, and so therefore nakubaliana na wewe.
 
Khaaaa!usiseme kwa sauti ...Msimbe asije kusikia kuwa sijaenda..Nilichungulia kidogo tu.Lakn tareh maalumu ya mjadalani ni tarhe 27?au mm namisi kitu hapa??
Ooh, i think I am the one missing smthing here...
Anyways kama ni hiyo tar ni vizuri zaidi!
 
Ha ha ha
tena wewe ndo una hatari
undugu wako umeungwa na mahari
tukizidai mahari you are finished

bora mie sijui mdogo, sijui ni dada, au kaka yake hawezi kunikataa.

Komaa, mpigie debe ili mawifi na shemeji tuendelee kukupenda.
Khaa mtanikondesha mwana wa mwenzenu, jitihada zote hizi bado tu mnataka niongeze bidii? Hamjaona ?
 
Back
Top Bottom