Halafu wee Kongosho inabidi tufanye mpango uhamishiwe jukwaa la siasa aisee, unaweza kuleta mabadiliko ya kutumainiwa kule!Ha ha ha ha
sipendi kabisa kutumia akili nyingi nikiwa jf
ndo maana nikaweka makazi hapa
huwa nawaonea huruma kule jukwaa la siasa.
I am too old to change.
Nakubaliana na wewe, ndo maana kuna watu wamejikana majina yao humu, mfano Nape na Pasco, wanadai humu JF si wao, so unaweza kuona jinsi JF inavyochukuliwa na members wengi, siyo that serious, ni kijiwe tu unachoweza kusema pretty much chochote kuhusu lolote, and so therefore nakubaliana na wewe.
Shikamoo!Halafu wee Kongosho inabidi tufanye mpango uhamishiwe jukwaa la siasa aisee, unaweza kuleta mabadiliko ya kutumainiwa kule!
Halafu wee Kongosho inabidi tufanye mpango uhamishiwe jukwaa la siasa aisee, unaweza kuleta mabadiliko ya kutumainiwa kule!
Ndety ulikuwa hujui?kumbe wametoka ukoo mmoja aisee hongera zake
Ngabu oyeee
Samahani sijui kama ulinijibu the last time i asked you, huyo ni wewe?
Nadhani ni kama wewe tu, hawataki kuichululia JF serious na kujipa presha.Ha ha ha,
wamejikana!!!!!?
Hawajui kuwa 'jogoo hauwawi na utitiri!'
Huwezi kuwa jogoo kama unaogopa utitiri.
Te teh teh teh...!Kwa kweli wewe Kongosho mimi lazima nicheke posti yako, i really love michango yako kwa kweli, you're something else bana.Kumbe sio mzuri kwenye siasa tu
hata kwenye komunit development and empawament uko vizuri
unajua kupick miradi endelevu aisee
Khaa mtanikondesha mwana wa mwenzenu, jitihada zote hizi bado tu mnataka niongeze bidii? Hamjaona ?
Hata ukinisalimia Ikungu huendi, unafikiri sijasoma ulichomwambia Michelle?Shikamoo!
Hebu fikiria na nilikuwa naumwa hivoo, kusikia tu wasukuma wametajwa...khaa vidole kaa vimepakwa glukozi vile....Umefanya kazi kubwa sana leo
hatuwezi kulalamika
afu nilikuona na kwenye uzi wa wasukuma ulijitahidi sana
hapo nakupa Max
Marhaba SL
Samahani sijui kama ulinijibu the last time i asked you, huyo ni wewe?
Hivi nani anatuchonganisha jamani?..khaaa mie Michelle sijamwona humu jamvini , umesahau jana nilishinda kwako?... Kuna memba kaiba p'word yangu asee!Hata ukinisalimia Ikungu huendi, unafikiri sijasoma ulichomwambia Michelle?
Utaipata fresh ya shamba sasa eeh!
Hata akioga haendi, fulu stop.hadi bht akubali