Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Ha ha ha ha
sipendi kabisa kutumia akili nyingi nikiwa jf
ndo maana nikaweka makazi hapa

huwa nawaonea huruma kule jukwaa la siasa.

I am too old to change.
Halafu wee Kongosho inabidi tufanye mpango uhamishiwe jukwaa la siasa aisee, unaweza kuleta mabadiliko ya kutumainiwa kule!
 
Mtu anaependa kusoma vitabu. majarida. magazeti mara nyingi anakuwa na lugha nzuri. kama NN na wengineo pia wa humu jf.
 
Ha ha ha,
wamejikana!!!!!?

Hawajui kuwa 'jogoo hauwawi na utitiri!'

Huwezi kuwa jogoo kama unaogopa utitiri.

Nakubaliana na wewe, ndo maana kuna watu wamejikana majina yao humu, mfano Nape na Pasco, wanadai humu JF si wao, so unaweza kuona jinsi JF inavyochukuliwa na members wengi, siyo that serious, ni kijiwe tu unachoweza kusema pretty much chochote kuhusu lolote, and so therefore nakubaliana na wewe.
 
Kule kuna mapovu!!!!
Hata ukinywa chai unakuwa kama umekunywa omo.

Nitawachit chat wakati watu wanaongelea mambo ya msingi bure.

Halafu wee Kongosho inabidi tufanye mpango uhamishiwe jukwaa la siasa aisee, unaweza kuleta mabadiliko ya kutumainiwa kule!
 
Kumbe sio mzuri kwenye siasa tu
hata kwenye komunit development and empawament uko vizuri

unajua kupick miradi endelevu aisee

Samahani sijui kama ulinijibu the last time i asked you, huyo ni wewe?
 
Ha ha ha,
wamejikana!!!!!?

Hawajui kuwa 'jogoo hauwawi na utitiri!'

Huwezi kuwa jogoo kama unaogopa utitiri.
Nadhani ni kama wewe tu, hawataki kuichululia JF serious na kujipa presha.

Ndo maana wanasema wanayosema halafu wanadai siyo wao maana wataonekana namna gani vipi kwenye jamii ya kweli, na si hii ya mtandao.

Sasa nashangazwa kwanini hawakutumia nick names kama Kongosho?lol
 
Kumbe sio mzuri kwenye siasa tu
hata kwenye komunit development and empawament uko vizuri

unajua kupick miradi endelevu aisee
Te teh teh teh...!Kwa kweli wewe Kongosho mimi lazima nicheke posti yako, i really love michango yako kwa kweli, you're something else bana.

Una kipaji cha uandishi? If so comic books tafadhali, una kipaji cha kuchekesha watu.
 
Umefanya kazi kubwa sana leo
hatuwezi kulalamika
afu nilikuona na kwenye uzi wa wasukuma ulijitahidi sana

hapo nakupa Max
Khaa mtanikondesha mwana wa mwenzenu, jitihada zote hizi bado tu mnataka niongeze bidii? Hamjaona ?
 
Umefanya kazi kubwa sana leo
hatuwezi kulalamika
afu nilikuona na kwenye uzi wa wasukuma ulijitahidi sana

hapo nakupa Max
Hebu fikiria na nilikuwa naumwa hivoo, kusikia tu wasukuma wametajwa...khaa vidole kaa vimepakwa glukozi vile....

Heri hata umenipa credit hapo!
 
Hata ukinisalimia Ikungu huendi, unafikiri sijasoma ulichomwambia Michelle?
Utaipata fresh ya shamba sasa eeh!
Hivi nani anatuchonganisha jamani?..khaaa mie Michelle sijamwona humu jamvini , umesahau jana nilishinda kwako?... Kuna memba kaiba p'word yangu asee!


Ikungu oyeeee, bht oyeeeee! Nyani Ngabu oyeeeeee! Wasukuma juuuuu! He bado hutanipeleka?
 
Tunaomba ukimya, rais atahuzuria muda si mrefu na suti lake rangi ya udongo
 
Back
Top Bottom