Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hii msg au unaandika barua ya kuomba kwenda likizo kwa shangazi??
 
Me: Mambo
Ke: P
Me: Unaendeleaje
Ke: P
Me: Uko wapi
Ke: Hm

Sitarudia tena kuwasiliana na mtu wa hivi.
Wanawake mnajikuta sana kujibu watu shortcuts.
Nooo huyo shule mgogoro🤣🤣🤣Nilikuwa na kasaidizi kangu nyumbani kakawa kananniandiki eti "SW" nikamwambia marufukuuu
 
Mbona unapata tabu wakati majibu unayo?
Usimcheleweshe mwambie akupe hela tuu shida nini? Akituma ya vocha, mwombe ya saluni, akituma mwombe ya Kodi, akituma mwombe ya bili ya maziwa. Ila kama unamtaka mwambie unaumwa aje kukuona.
 
Mbona unapata tabu wakati majibu unayo?
Usimcheleweshe mwambie akupe hela tuu shida nini? Akitumabya vocha, mwombe ya saluni, akituma mwombe ya Kodi, akituma mwombe ya bili ya maziwa. Ila kama unamtaka mwambie unaumwa aje kukuona.
Sawa kabisa!ni muamala juu ya muamala
 
Ukiona huna cha kujibu huyo sio mpenzi wako,mpenzi wako hukosi cha kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…