Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Best friend hujambo!! ila natanguliza samahani namba yangu kuwa ngeni kwako, nikisema ni kwambie namb yko nilipo itoa labda naweza kukupa jibu litakalo zuwa migogoro au furaha na tabasamu zuri kutoweka usoni mwako.

Lengo na dhumuni langu ni kuwa karibu yako kama rafiki mwema na wakweli nitakae kujali na kukuthamini katika hali zote. Sina mengi ya kukueleza ila nina mema na vingi vya kugawana nawe endapo nikiipata nafasi hiyo adimu.

Ila mrembo kama nitakuwa nimekukwaza sina budi kukuomba samahani na namba yako bado sijai save ikiwa hujaridhia nipo tayari kuifuta muda wowote!
!



🤔🤔 Anyway huu☝🏽☝🏽ni ujinga tu.
Nilikuwa naangalia jibu zuri la

"NAMBA YANGU UMEITOA WP?"
Hii msg au unaandika barua ya kuomba kwenda likizo kwa shangazi??
 
Me: Mambo
Ke: P
Me: Unaendeleaje
Ke: P
Me: Uko wapi
Ke: Hm

Sitarudia tena kuwasiliana na mtu wa hivi.
Wanawake mnajikuta sana kujibu watu shortcuts.
Nooo huyo shule mgogoro🤣🤣🤣Nilikuwa na kasaidizi kangu nyumbani kakawa kananniandiki eti "SW" nikamwambia marufukuuu
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Mbona unapata tabu wakati majibu unayo?
Usimcheleweshe mwambie akupe hela tuu shida nini? Akituma ya vocha, mwombe ya saluni, akituma mwombe ya Kodi, akituma mwombe ya bili ya maziwa. Ila kama unamtaka mwambie unaumwa aje kukuona.
 
Mbona unapata tabu wakati majibu unayo?
Usimcheleweshe mwambie akupe hela tuu shida nini? Akitumabya vocha, mwombe ya saluni, akituma mwombe ya Kodi, akituma mwombe ya bili ya maziwa. Ila kama unamtaka mwambie unaumwa aje kukuona.
Sawa kabisa!ni muamala juu ya muamala
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-02_160028.jpg
    Screenshot_2024-02-02_160028.jpg
    79.7 KB · Views: 4
Ukiona huna cha kujibu huyo sio mpenzi wako,mpenzi wako hukosi cha kujibu
 
Back
Top Bottom