Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hiyo avatar kali sana imepishana na mishale mingi humu 😂😂😂😂Hii avatar naipendaga sanaaa [emoji3059] [emoji1787][emoji1787] tukirudi kwenye topic ya shangazi Joannah umesahau na wale wa kuuuliza vipi umekula au unafanya kazi gani hivi unataka kugundua niniii jamani
Hao ndo wananikwaza mimi jamani..!!
Unakula nini? Chakula ulinipa? Tuma pesa ya chakula ndo uulize nakula nini…??