Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Kumekucha kumekucha
Haya wanaume mnaitwa na dada mkubwa huku [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sema dada akikutumia muamala mbona utamuanza mwenyewe kumwambia “Niambie” [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakaziaaaa.
 
Umenikumbukusha mademu wa Arusha, huwezi hata kuchat nae atakukata stimu tu

Mtu unamuanza
You: mambo vipi salma
Yeye: mzuka Arif nigani

Dah unaona namna Gani hapa ila unajikaza unaendelea

You: salma nimekumis ujue
Yeye: acha basi kunifunga mota jombi


Unaona isiwe kesi unamblock
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa natumia kwa nisiye muelewaa.
Yaan had huwa nachekaaa.
 
mshukuru Mungu hata kwa huyo kiazi anakumbuka hata kusema mambo

kuna sisi ambao huwa hatutumi msg kabisa na hata tukitumiwa hatujibu


mi kuchat na mwanamke kazi nashida nakupigia na ukituma msg sahau majibu
 
Back
Top Bottom