Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 unayawezaYupo hapa nakula like zake,Sasa jichanganye
Mwanamke umghalamie alafu umuite cheap kweli?? Yy anakutana na wa vilabuni hawakataiEeeh aone wenzie Vile wanapasuka kama wananguvu ya kumuita ke wake cheap!
Vya ulanzi na chingiri 🤣🤣🤣🤣🤣Umekumbuka vilabu vya makete nawewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walivyochangamka kama wametiwa ndimu yaani kabla hawajakwambia me niambie wao tayari wameshakuambia[emoji1787]
Point gani Straight ukichati na mpenzi wako toa mfanoHao wanakutumia meseji za hivyo ni madomo zege na hawana pesa.
Dawa yao waombe pesa wakose pozi na kuanza kukuna pumbu zao.
Sisi wahenga huwa tunaenda kwenye point straight away.
Kwahio wewe huna kingine cha kuwasiliana na mpenzi wako zaidi ya muda wa geto kumwambia geto jioni, hii inamaanisha ukiwa hina activities za geto uko Week days hata hamuwasilaini kabisaWa mkoani tunasemaga straight,pita geto jioni Nimemiss hio kumer.
Majini🤣😄Mwendo ni ule ule, habadiliki mtu hapa
Ni bure hiyoAaah wapi hakuna pesa ya kuita Bure..ongeza mbinu
Njoo pm tuanze mdogo mdogoWee sema kweli🤭
Kwa mbali tunaelekeana. Salamu ndefu siziwezi, watu wa karibu wanajua nina uvivu eneo la salamu.kUmbe wewe huwa unajibu?
Kwa mtu yoyote huwa nataka msg direct
Tofauti na hapo huwa sijibu...
NImejaza unread msg za wajinga kisa salamu zisizoisha...