Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Ndiyoooo....
Ninavyochekaga vituko vya Zai....ndiyo Comments zako hapa JF zinavyonichekesha.🤣
🙏🙏🙏 Kwa kunikubali dear.
Sema sahv na uzee huu, tunaamua kuangalia ligi ya sasa.
Ila Zai anachekeshaga.
Afu yale mambo ya uswazi.
Uswazi raha sana
 
Demi mpaka sasa sijapata updates yoyote toka kwake....itakuwa mambo aliyatindinganya, sasa anafukia ma-gape😄
Sasa madame naona unataka na huu uzi ufungwe😅😅.
Ila kiufupi niliufanyia kazi ushauri wako kungwi wangu mambo yalienda vzr na asubuhi nikapewa zawadi ya shopping😂😂.
 
Sasa madame naona unataka na huu uzi ufungwe😅😅.
Ila kiufupi niliufanyia kazi ushauri wako kungwi wangu mambo yalienda vzr na asubuhi nikapewa zawadi ya shopping😂😂.
Namna hiyo
Napenda kusikia feedback kutoka kwa mwari wangu.
Usiniangushe somo yako.

Haya shoga, mie nipo
 
I hate cheap women in every three words two are connected with money.............wakati mapenzi sio pesa mapezi ya kununua hayana laadha.
Kwenye mapenzi unapotoa fedha hununui kitu bali unaimarisha bond. Ni wapi ulishaona vitu viwili vinaungashwa bila kiunganishi ambacho ni fedha? Huu ndiyo ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom