Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Sasa nawe unamharakisha wapi anayetaka angalao akupe maisha ya siku 2/3.Ama tu ndio yale ya maskini jeuri😅
 
I hate cheap women in every three words two are connected with money.............wakati mapenzi sio pesa mapezi ya kununua hayana laadha.
Cheap women ni wale unawalala bila kuwahudumia,umejioketea kilabuni,,tunza mwanamke wako uone kama utamwita cheap bro
 
Umenikumbukusha mademu wa Arusha, huwezi hata kuchat nae atakukata stimu tu

Mtu unamuanza
You: mambo vipi salma
Yeye: mzuka Arif nigani

Dah unaona namna Gani hapa ila unajikaza unaendelea

You: salma nimekumis ujue
Yeye: acha basi kunifunga mota jombi


Unaona isiwe kesi unamblock
Stimu lazima ziyeyuke 😁
 
Back
Top Bottom