Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Unaeza omba mwanamke namba akakupa mwenyewe then baadaye unampanga anazingua tena mpaka utajiuliza izi namba nimemnyanganya mwanaume anafuta namba yako bhas mbona wanaume tunajitahid Sana kuwaelewa Kwa misimamo ya ajabu kama hiyo swala siyo jibu ulilojibiwa swala ni uwezo wako wakuwaelewa wengine na kuchukuliana nao na hapo ndo ubora wa mwanamke unapoonekana
 
Kumekucha kumekucha
Haya wanaume mnaitwa na dada mkubwa huku [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sema dada akikutumia muamala mbona utamuanza mwenyewe kumwambia “Niambie” [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hii avatar naipendaga sanaaa [emoji3059] [emoji1787][emoji1787] tukirudi kwenye topic ya shangazi Joannah umesahau na wale wa kuuuliza vipi umekula au unafanya kazi gani hivi unataka kugundua niniii jamani
 
Umenikumbukusha mademu wa Arusha, huwezi hata kuchat nae atakukata stimu tu

Mtu unamuanza
You: mambo vipi salma
Yeye: mzuka Arif nigani

Dah unaona namna Gani hapa ila unajikaza unaendelea

You: salma nimekumis ujue
Yeye: acha basi kunifunga mota jombi


Unaona isiwe kesi unamblock
Ha ha haaaaaaaa.....

Umezidisha mkuu
 
Hii avatar naipendaga sanaaa [emoji3059] [emoji1787][emoji1787] tukirudi kwenye topic ya shangazi Joannah umesahau na wale wa kuuuliza vipi umekula au unafanya kazi gani hivi unataka kugundua niniii jamani
Mpaka mtu anakutumia txt za Ivo mko kwa active relationship, kama unaona ni za kijinga mkanye asikutumie then akiacha uanze kulalamika hakuchek
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?

Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.

Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?

Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa?

Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣

Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie nini sasa? Eti huwa mnataka tuwaambie nini? Binafsi sana, sana ukiniambia nikwambie, nitakuomba hela... Halafu utaanza kulalamika na kulilia, maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia, wakati wewe mwenyewe umesema nikwambie, au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli, mtu akishaniambia hiyo "NIAMBIE," huwa anikera sana...

Hebu tupumzisheni basi, viumbe vya mola, jamani.
Aaaah muombe ela tu
 
Wapumbavu tu ndo mtawaona huko dm kwenu
 
Back
Top Bottom