ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria.
Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je nyie mko wapi huko ambapo mnapata wanawake wa kutaka tu kufunga ndoa kisheria.. Mimi wanawake zangu wote wawili niliobahatika kukaa nao msimamo wangu ulikuwa tusiwe na haraka za kufanya harusi kisheria.. Na uzuri siku hizi hata wazazi wanakubali tu uishi na mweza wako kikubwa ujulikane kwao basi.. Ndoa mbele Kwa mbele huko hata ukiwa na miaka 50 zinabarikiwa..
Nije kwenye point ya KUISHI na mtu.. Kama hata hilo la kuishi na mtu mnalipinga basi mna shida mahali aidha ni wabinafsi mnaona uchungu kula hela yako wawili.. Ila kwangu mimi ni faida sana, imagine mshahara wangu kwa mwezi ni mdogo baada ya makato na mikopo labda nabakiwa na laki 3..sasa ikitokea mwezi mzima sijapata activity ya kunipa posho huoni kama ni faida kwangu maana nikiwa na mwanamke ndani kama misosi ipo yeye nikimwachia laki na nusu huoni nitakula hata karibia mwezi mzima au week tatu Tena mlo mzuri...
Hapo hapo unamgonga bure sio kuliwa hela zako na Malaya.. Maana Malaya ukimtafuta karibia utatumia naye 40000 sasa kwa mwezi ukigonga Malaya watatu si umemaliza hela yote unaanza kuteseka hata ya kula.. Hapo hapo ukikaa na mtu anakufanyia kazi bure za usafi..
HITIMISHO:
naona vijana wa kipato cha Kati ndo kuishi na mtu kuna wa favor sana yaani kipato cha 200000-500000 kwa mwezi.. Nyie wengine wenye hela nyingi mnaogopa mnaona kama kiumbe anakuja kufaidi jasho lako... Na nyie wengine msio kabisa na ramani za hela,lazima mkatae kuishi na mtu ni aibu maana hata ya kununua chakula kwa jumla mnatetemeka itawashinda.
All in all ni suala la maamuzi ya mtu ni suala la uhuru sijasema nalazimisha ila nimetia tu neno kuunga mkono kwamba faida za wawili ni sana kuliko hasara.Tunaishi Sawa tuko wazima ila sometimes mahoma yanaweza kukushika usiku ukakosa hata mtu wa kukuchotea maji au kukuchemshia uji ukafa kizembe kabisa.