Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wazazi wanajua soko gumu so wanalegeza, mi walitaka kunivuruga ila baada ya kusikia mtoto wao ana kidude waka chillTena uzuri mkuu siku hizi hata wazazi wamenyosha mikono maamuzi wameachiwa watoto.. Zamani me nakumbuka babu yangu ana kuwa mkali akisikia binti yake ana mahusiano na mtu au haonekani home siku mbili kalala kwa msela... Ila siku hizi mabinti wenyewe hawakai home wanaruhusiwa kwenda kujitafutia maisha(maokoto) huko mbele sasa hilo ndo gap la kumvuta.. Kikubwa shida ndogo ndogo unawasaidia wazazi 20,000 hizi sio mbaya kuwa tumia