Wazazi wanajua soko gumu so wanalegeza, mi walitaka kunivuruga ila baada ya kusikia mtoto wao ana kidude waka chillTena uzuri mkuu siku hizi hata wazazi wamenyosha mikono maamuzi wameachiwa watoto.. Zamani me nakumbuka babu yangu ana kuwa mkali akisikia binti yake ana mahusiano na mtu au haonekani home siku mbili kalala kwa msela... Ila siku hizi mabinti wenyewe hawakai home wanaruhusiwa kwenda kujitafutia maisha(maokoto) huko mbele sasa hilo ndo gap la kumvuta.. Kikubwa shida ndogo ndogo unawasaidia wazazi 20,000 hizi sio mbaya kuwa tumia
Ni muhimu sana hili swala. Mpaka ikifika siku mnafunga ndoa sababu ya kufunga hiyo ndoa inakuwa ni mmeshafahamiana na kuzoeana sio kupendana maana upendo unadanganya sana.Una wazo zuri, niliwahi kulileta humu kama njia ya kupambana na changamoto za pre-mature marriage divorces.
Watoto wa kike walinishangaa na kuniona kama mwendawazimu ila i had a point. Kwa zama hizi ni vyema sana kuwaweka watoto wa kike kinyumba before making major decisions in life. Kama anakuigizia utajua tu mtu hawezi kufanya maigizo miaka 6.
Ukirasimisha anakua na uhakika anatambulika pande zote za kifamilia, anatambulika kijamiii kama mke wako & kanisani/msikitini (kiimani) anatambulika sasa hyo hua inawapa jeuri sana anaweza akaaanza kukusumbuaYeah we upo kama mimi maana kweli inawezekana ukisharasimisha kisheria ndo malalamiko yasemwayo yanaanza ila mtu mko naye pika pakua hawezi kuleta ujeuri sana.. Kikubwa ni kuishi nao tu Kwa akili basi
Vingine anaweza kua sawa lkn mda mwngn anakua kero unaweza fanya mistake aisee ikawa fimbo ya kukusimangiaKelele unahisi chanzo kikubwa ni nini?
We si mtu wako huyo lazima umsikilize anachotaka ni kama mlezi wako yaani demu akulalamikie unachelewa kurudi we unaona ni kelele au anakutakia mazuri??
Ikiisha miwili tu, mnakuwa wanandoa halali. 😁Una wazo zuri, niliwahi kulileta humu kama njia ya kupambana na changamoto za pre-mature marriage divorces.
Watoto wa kike walinishangaa na kuniona kama mwendawazimu ila i had a point. Kwa zama hizi ni vyema sana kuwaweka watoto wa kike kinyumba before making major decisions in life. Kama anakuigizia utajua tu mtu hawezi kufanya maigizo miaka 6.
Sasa jeIkiisha miwili tu, mnakuwa wanandoa halali. 😁
NAKAZIA HII POINT. Kwa kimombo You can find the best solution by creating the most worst problem halafu unarudi kulekule tena.Upweke ni changamoto sikupingi lkn unaweza tatua tatizo Moja Kwa kutengeneza lingine, unaweza kwepa upweke ila kelele humo ndani sasa
Na inawezekana akajikuta ameachwa kimyakimyaHilo swali lazma aulize ila sound unampigisha miaka inaenda hadi utakapokuwa tayari
AhaaaaUpweke ni changamoto sikupingi lkn unaweza tatua tatizo Moja Kwa kutengeneza lingine, unaweza kwepa upweke ila kelele humo ndani sasa