Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mwamba upo? Comment zako huwa ni very funnyπKuwa na mchepuko sio shida
Shida unaposhindwa kumdhibiti huyo mchepuko
Wewe unajuaje kama na ishi kwa imaniKupata Ndoa inahitaji commitment ndiyo maana wewe bado hujapata
Umeanza sasaWewe unajuaje kama na ishi kwa imani
Sio wangu huyo mume angeshakuwa kakosa mkono ila hata hao wanawake ni wanaokubali kuvunja ndoa za wenzake ni majangili, mbona mimi nilikataa sikuona hela ni nzuri ila niliona kumvugia mwenzangu ndoa yake aliyoisotea ni mbaya nikasepa.Ona wanawake tulivyo wa ajabu. Analia na mchepuko na kumuacha mume aliyeleta hiyo shida ya mchepuko...
Eh kwanza umeniulizia uzima anzaga mzima best halafu uje nakichamboUmeanza sasa
π π π ππΎEh kwanza umeniulizia uzima anzaga mzima best halafu uje nakichambo
Uwasilishaji wako ni kumlaumu mchepuko sio mume aliyeleta mchepuko ktk ndoa.Sio wangu huyo mume angeshakuwa kakosa mkono ila hata hao wanawake ni wanaokubali kuvunja ndoa za wenzake ni majangili, mbona mimi nilikataa sikuona hela ni nzuri ila niliona kumvugia mwenzangu ndoa yake aliyoisotea ni mbaya nikasepa.
Hata hao wanawake wanatakiwa kutokubali kuwa michepuko wasumbufu
Nifah avatar yako nzuri sanaa nimependa nini wewe au??Uwasilishaji wako ni kumlaumu mchepuko sio mume aliyeleta mchepuko ktk ndoa.
Hapo ndipo shida ilipo.
Huu ni mtego, sitauingia kamwe!
πππππKawaida yao michepuko kujizima data
mamaJ aliwahi Kwenda kujitambulisha kwa mamaG, eti kachoka kufichwa Kama ARV