Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

Mchepuko ama me mdogo kuwa na nguvu na ujeuri kwa mwenzio ni kosa la mwanaume, kuna udhaifu mkubwa hapo kati.
Mwanaume lazima uchore mstari, hata kama imetokea unachepuka mkeo apate staha na heshima yake.
Sasa mfano mdogo we unamwambia mchepuko dah, vitu hivi kwa yule mshamba nyumbani sivipati hivi, sijui niliolea nini, unategemea nini kwa mchepuko/mke mdogo asiye na akili kichwani.
 
Ona wanawake tulivyo wa ajabu. Analia na mchepuko na kumuacha mume aliyeleta hiyo shida ya mchepuko.

Yani mume wala hana kosa kabisa, na wataendelea kuishi vizuri huku akimlaumu mchepuko kwa kutaka kuvunja ndoa yake!

Amkeni jamani, deal na mume wako sio mchepuko. Mpaka mchepuko anafikia stage hiyo amepata support ya kutosha kutoka kwa mumeo.
Inasikitisha sana!
Huenda ikawa mke pia ndio sababu mume akawa na mchepuko sijui umelifikiria hilo...???
 
Huenda ikawa mke pia ndio sababu mume akawa na mchepuko sijui umelifikiria hilo...???
Sasa mkifikia hapo si muachane tu? Mi yule mwanaume wangu nampenda sana ila akifikia stage anaona bora awe na mchepuko mpaka kufikia stage ya kunivunjia heshima haifai tuendelee tena na hiyo ndoa.

Inauma lakini kuachana ni bora zaidi kila mtu aishi maisha yake kikamilifu.

Haijalishi mwenza kafanya nini, mchepuko sio suluhisho. Siamini ktk kuchepuka.
 
Ukute hutaki kukata...😅
 
Back
Top Bottom