DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
NshawasiliKakangu@Deepond anawez kuwa na msaada mzuri zaidi juu ya hili..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NshawasiliKakangu@Deepond anawez kuwa na msaada mzuri zaidi juu ya hili..
Ilkua patashika[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87]
Uzi ufungwee hapaaa.Ona wanawake tulivyo wa ajabu. Analia na mchepuko na kumuacha mume aliyeleta hiyo shida ya mchepuko.
Yani mume wala hana kosa kabisa, na wataendelea kuishi vizuri huku akimlaumu mchepuko kwa kutaka kuvunja ndoa yake!
Amkeni jamani, deal na mume wako sio mchepuko. Mpaka mchepuko anafikia stage hiyo amepata support ya kutosha kutoka kwa mumeo.
Inasikitisha sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida yao michepuko kujizima data
mamaJ aliwahi Kwenda kujitambulisha mwny kwa mamaG, eti kachoka kufichwa Kama ARV
Amepata support ya kutosha toka kwa mumewe, NA INDIRECT SUPPORT TOKA KWA MKE. Support ya mke, wanawake wengi huwa hawaioni. Yaani nyani haonagi kunnddulle..!!Ona wanawake tulivyo wa ajabu. Analia na mchepuko na kumuacha mume aliyeleta hiyo shida ya mchepuko.
Yani mume wala hana kosa kabisa, na wataendelea kuishi vizuri huku akimlaumu mchepuko kwa kutaka kuvunja ndoa yake!
Amkeni jamani, deal na mume wako sio mchepuko. Mpaka mchepuko anafikia stage hiyo amepata support ya kutosha kutoka kwa mumeo.
Inasikitisha sana!
mnoo🤣Mwamba upo? Comment zako huwa ni very funny😅
Kapewa nguvu na mume hilo lipo wazi. Mchepuko hana tatizo hapoYaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi.
Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani.
Hivi mtu akiwa mchepuko nguvu alionayo ni ipi?? Inatesa sana . Mtu anakuhakikishia atachukua kila kitu, hata kama ina mbidi amtoe uhai jamani dunia haishi kuwa na mume hadi uwe unaua mke wa mtu kweli hivi nyie michepuko mnajiona nani kwani.
Hamjakutana na vichwa vilivyoungua kweli mnakera
Siyo vizuri kumtafuta uchokozi mwenzie.Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi.
Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani.
Hivi mtu akiwa mchepuko nguvu alionayo ni ipi?? Inatesa sana . Mtu anakuhakikishia atachukua kila kitu, hata kama ina mbidi amtoe uhai jamani dunia haishi kuwa na mume hadi uwe unaua mke wa mtu kweli hivi nyie michepuko mnajiona nani kwani.
Hamjakutana na vichwa vilivyoungua kweli mnakera
Ni kweli hajielewiHuyo mchepuko ni mshirikina eidha Yeye ni mchawi, lakini angekuwa mchawi angekuwa mpole-unafiki na angeishia kutangaza Kwa watu wa pembeni, nashawishika Anapewa kiburi na mganga wa kienyeji ndio sababu na usidhani anatania, Kwa hiyo mwenye mume anatakiwa awe makini maana yaonekana hata Mwanaume keshawekwa mfukoni, hajielewi...
mkuu upo? Sijakuona masiku teleKuwa na mchepuko sio shida.
Shida unaposhindwa kumdhibiti huyo mchepuko
Tupo ila tunapishanaM
mkuu upo? Sijakuona masiku tele
Mimi ningekuwa mama G namwambia ahsante kwa kujitambulisha halafu naendelea na shughuli zangu, halafu namsubiri huyo mficha ARV, Kama sipungukiwi kitu hata yeye simuuliziKawaida yao michepuko kujizima data
mamaJ aliwahi Kwenda kujitambulisha mwny kwa mamaG, eti kachoka kufichwa Kama ARV