New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Wakuu habari,
Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
kwahiyo kumbe matajiriKwanini waifunge, unataka kuwapangia watu maamuzi? Au unataka kuomba pesa 🤣
😂😂Wakuu habari,
Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
Wana mtindio wa Ubongo itakua kujiona masupastaa wa Jeif mtu hata hana Platinum membership ila kafunga DM melo mwenyewe DM yake ipo wazi sembuse hao pangupakavu ingawa ni option ya kukwepa lawama za usumbufu hususani wanawake wasiopenda kutongozwa na wanaume ila wanapenda kuwatongoza wanawake wenzaoHivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
Kipenzi Changu uko wapi?Mimi nilifunga kuepuka usumbufu wa wanawake kila wakati