Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Aaah yamenifika hapa!

Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.

Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa.

Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa upya.

Ncha Kali.
 
Wivu au upumbavu wenu?
Watoto wanaokula kula hovyo mikuku mitaahira isiyo na baba wala mama, mikuku mis*ng* inayotaga mayai hata bila kupandwa? Wanaokunywa maziwa ya makopo, energy drinks, pombe za kwenye viroba?
Walio radhi kuwa Marioo na kunyang'anywa uanaume ili tu wapate riziki?
Me wanaoongea na Ke kwa sauti za 3 wakilamba lamba lipsi, wanaovaa vipensi milegezo, watoboa masikio, wasuka rasta na wanaojichubua kama demu wangu Chausiku?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Vitoto vya 2000s aisee ni majanga vingi vinastahili maombezi ya MWAMPOSA.
Wakike;
-Ujuaji mwingi.
-Wana haraka ya maisha pasi na kujua wanayaendeaje.
-Tamaa nyingi ya mali.

Wakiume;
-Wakimbia majukumu.
-Wapenda kufanikiwa kiwepesi.
-Hawapevuki kibusara za kiume hubaki kuwa na mawazo ya kivulana.
 
Umeshapanic tayari, punguza jazba leta facts sio chuki na wivu....
kama enzi zimekutupa mkono kubali.
 
Amenena ukweli.
Kizazi cha 2000s kimeathirika sana hasa na utandawazi.
Mbaya zaidi ujuaji mwingi umewafanya kukosa hata hekima ya kupembua kiasi wanapotea kwa ujuaji mwingi,wasomi wanajifanya wao,wakisasa wanajifanya wao,watandawazi wanajifanya wao,kuiga kwingi.
Aiseee!
Ukijaribu kuwaelekeza watakwambia "aaagh nani asiyejua bhanaa".
 
Vitoto vya 2000s aisee ni majanga vingi vinastahili maombezi ya MWAMPOSA.
Wakike;
-Ujuaji mwingi.
-Wana haraka ya maisha pasi na kujua wanayaendeaje.
-Tamaa nyingi ya mali.

Wakiume;
-Wakimbia majukumu.
-Wapenda kufanikiwa kiwepesi.
-Hawapevuki kibusara za kiume hubaki kuwa na mawazo ya kivulana.
Kukimbilia mafanikio sio kosa, mnataka wabaki na ujima wa kuogopa kujenga wala magari eti utarogwa?
 
Tusiwalaumu tulaumu malezi mabovu kutoka kwa walezi na wazazi wao.
Ila yote kwa yote ndo kizazi kinacho ambatana na madhara ya utandawazi sio bongo tu hata kwa wenzetu ni yaleyale, kila kitu kipo kiganjani utawaambia nini? Mm naona kila mtu ashinde mechi zake tu.
 
"Another 2000's Kid trying to demand his/her right"

ni mfumo kama ilivyo siasa ni mfumo .. ko mfumo ni mfumo ambao ndani yake kuna mifumo ili uelewe mfumo inabidi uwe kwenye mfumo.

utakuwa utaelewa tuna maanisha nn
Leteni hoja tuelewe, sio hadi wakikua..... ni kama tu ambavyo wewe unawaona kiazazi cha uhuru.
 
Back
Top Bottom