NakaziaOne Man down over, I repeat one Man down over
Wivu au upumbavu wenu?Aaah yamenifika hapa!
Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.
Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa.
Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa upya.
Ncha Kali.
Nakazia ²Nakazia
Vitoto vya 2000s aisee ni majanga vingi vinastahili maombezi ya MWAMPOSA.Aaah yamenifika hapa!
Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.
Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa.
Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa upya.
Ncha Kali.
Umeshapanic tayari, punguza jazba leta facts sio chuki na wivu....Wivu au upumbavu wenu?
Watoto wanaokula kula hovyo mikuku mitaahira isiyo na baba wala mama, mikuku mis*ng* inayotaga mayai hata bila kupandwa? Wanaokunywa maziwa ya makopo, energy drinks, pombe za kwenye viroba?
Walio radhi kuwa Marioo na kunyang'anywa uanaume ili tu wapate riziki?
Me wanaoongea na Ke kwa sauti za 3 wakilamba lamba lipsi, wanaovaa vipensi milegezo, watoboa masikio, wasuka rasta na wanaojichubua kama demu wangu Chausiku?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Amenena ukweli.Umeshapanic tayari, punguza jazba leta facts sio chuki na wivu....
kama enzi zimekutupa mkono kubali.
Kukimbilia mafanikio sio kosa, mnataka wabaki na ujima wa kuogopa kujenga wala magari eti utarogwa?Vitoto vya 2000s aisee ni majanga vingi vinastahili maombezi ya MWAMPOSA.
Wakike;
-Ujuaji mwingi.
-Wana haraka ya maisha pasi na kujua wanayaendeaje.
-Tamaa nyingi ya mali.
Wakiume;
-Wakimbia majukumu.
-Wapenda kufanikiwa kiwepesi.
-Hawapevuki kibusara za kiume hubaki kuwa na mawazo ya kivulana.
Need Evac?One Man down over, I repeat one Man down over
Leteni hoja tuelewe, sio hadi wakikua..... ni kama tu ambavyo wewe unawaona kiazazi cha uhuru."Another 2000's Kid trying to demand his/her right"
ni mfumo kama ilivyo siasa ni mfumo .. ko mfumo ni mfumo ambao ndani yake kuna mifumo ili uelewe mfumo inabidi uwe kwenye mfumo.
utakuwa utaelewa tuna maanisha nn