Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Kitchetche

Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
71
Reaction score
78
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
 
Bahati nzuri na mm nimewahi kunywa pombe. Ila asubuhi ukiamka unakuwa mgonjwa sababu ya hangover. Pia pombe huleta magonjwa na udhaifu wa mwili
Yaani ni balaa asubuhi na kama ulilala na mwanamke usiku huo utasema sasa ni wazi Mimi in mgonjwa!
 
Bahati nzuri na mm nimewahi kunywa pombe. Ila asubuhi ukiamka unakuwa mgonjwa sababu ya hangover. Pia pombe huleta magonjwa na udhaifu wa mwili
Ni kweli mkuu upo sahihi, naamini umeacha Je umeachaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…