Starehe yetu ni kutokunywa kilevi chochote,kutofanya uzinzi na uovu mwingine wowote,tumepumzishwa hatutumikishwi tena na kawaida za dunia hii.Tuko huru! We are not slaves of the Devil.Na wewe karibu mkuu katika starehe hii ya ajabu sana na ya kweli.Starehe zingine zote ni fake, called wrongly starehe by the Devil.Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Njoo tuchart wasapNi kuchat WhatsApp na sehemu kama hizi mimi ni mmojawapo nikishika simu toka asbh hadi alfajiri [emoji85]