Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

mkuu kuna watu hawanywi pombe hawatumii sigara hawapendi mpira na michezo yeyote ile na mziki pia hawapendi,hapo ndipo hua najiuliza sana nini hasa wanapenda hapa duniani?
 
Kwich Kwich kwich[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Msennge sana huyu malay ananitafuta na hanipati NG'O .. Wakajipange upya nyoko zake kabisa

Cc Smart911
Am so mad wright now mahondaw wangu... Who ever the hell is playing this game mods naomba wampige BAN ya maisha...

Seriously i don't entertain crap and i wont involve myself in responding to such stupid things...

Kaa kimya mahondaw wangu... Its our world.. Its me and you... No one will can interfere anything between us.. I love.. Yes i love.. Only you mahondaw wangu...

Ignore all the crap...
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Gospal, movie, kuomgea na marafiki kijiwen n.k
 
hawa kilevi chao mapenzi kilevi kinacho chosha na kumaliza pesa kama safari lager tuwahulumie
 
Nmesoma komemts kibao wengi wanasema sex....Sex ni basic need na wala siihesabii kama starehe....kukosa sex ni kama kukosa pumzi, chakula, nguo, malazi.
wengi tumefundishwa kuwa kuna mahitaji matatu makuu ya binadamu ila kwa tuliobahatika kufika vyuoni tumeweza kuyajua mawazo kama ya kina moslow yaliyotengeneza moslow's pyramid of needs, So all in all Sex is a basic need na ndio mana ukiikosa kwa muda waweza kuwa mpiga puli hatari

Mimi sinywi pombe, sivuti kitu lakini starehe yangu ni kufanya kitachongurahisha kulingana na mazingira, muda mwimgi napenda kujifunza na kutengeneza software za kompyuta mana ndo inakuwa burudani tosha...
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.

starehe yangu kubwa internet, chochote kinachohusiana na internet mie ni shabiki namba 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…