leah2
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 584
- 1,437
Yaani kuitwa mpnzi au shabiki wa simba lazima uwe na ufahamu mdogo..ndiyo lazima uamini kila unachoambiwa hata kama hakiwezekani.
Niliwaambia Niyonzima hawezi kuichezea simba hata iweje kwa sababu simba haina ubavu wa kuchukua mchezaji wa yanga ambaye bado anahitajika na yanga lkn nyie viumbe hamuelewi!
Najiuliza nani amewaloga? Kwann hamsumbua vichwa vyenu kufikiri?
Kikwete alisema za kuambiwa........
Lkn nyie za kuambiwa mnachukua hizozizo duu poleni sana..
Kaaeni mkijua Niyonzima hajasaini msimbazi na hata kaa asaini , viongozi wenu wakiwaambia amesaini wanawachezea akili zenu
Hii ni laana ya Rage nendeni mkamuangukie