Ipo kibao, jichanganye Facebook, mishangazi mingi hapo insta ila TikTok na Facebook sana jitahidi kupita na gym, ukikaa wiki huwaoni una hama chimbo, mwisho kabisa ni vikundi vya mazoezi, kupunguza uzito huko mashangazi ni mengi usipo kua MAKINI yatakuua kabisaMbona mm siipati iyo mishuga mama jaman
Mbona mi sioni kama Hilo ni tatizo kikubwa habebi mke wa mtuMadogo hawawezi kukuelewa hata utumie lugha gani.
Chanzo ni uvivu, lack of creativity na ujuaji mwingi ndo inapelekea wapende kitonga.
Wakikutana na mishangazi yenye depression na isiyo na haya kutembea na wavulana umri wa watoto zao, basi dogo anakubali kuwa chini ya kikubwa apewe mbususu na material things apate kutamba town.
Umeongea kwa chungu sana niko nalia huku baada ya kusoma hapa 😭😭😭😭Nyie mnaojiita wakubwa ndio mlioiharibu hii nchi ndio maana hata vijana wanapenda mteremko kwa majimama ama mishangazi!.
Nchi yenyewe ndo hii kupata kazi mpaka undugu au uhonge!, mtu katoka chuo anapataje fedha ya kuhonga..? Mtu anaambiwa awe na experience ya miaka mitatu!, kaitolea wapi hiyo experience..?
Nyie wa makamu ama wazee mnatembea na binti ambao tunatakiwa sisi tutembee nao mnawapa fedha na kila aina ya mahitaji unafikiri watakuja kwetu kweli..? Hapo wanachotupa sisi ni dharau tu!.
Lawama nyumbani, mtaani na maisha yenyewe yanakupiga vita and then linajitokeza li mshangazi sio kwamba litakufuta machozi yote bali walau hata litakutoa kwenye stress na shida moja mbili tatu litazitatua kwanini usilikubalie..?
We umekaa bungeni kila kikao unalipwa laki tatu hapo ni kwa masaa tu!, na miposho mingi tu wakati huku miamala yao haitozwi kodi!.. mtu huyuhuyu anakuambia ujiajiri!! Mbona yeye hajajiajiri..?
Oya acheni masihara kuna maamuzi watu wanafikia kwasababu ya ugumu wa maisha, utamuambia mtu akalime lakini toka msingi wake hana hiyo elimu ya kilimo hivyo kuangukia pua ni kugusa!.
Vipo vingi sana vyakubadili ili kurekebisha hili la vijana kujihusisha kimapenzi na mishangazi!.
Teacher ✍️😅Song: Mario by TP OK Jazz Band.
Lingala.
_______________
Oh Mario
Luka ata mwasi yo moko obala
Mario mosala kolinga ba maman mobokoli
Basuka yo te?
Lelo makambo lobi makambo nalembi
Lelo bitumba lobi koswana nabaye
Naboyi kobebisa nzoto na manzaka nalembi eh
Mario nalembi e e
Mario nabaye e e
_______________
Swahili;
Matatizo ya leo, matatizo ya kesho, nimechoka
Leo tunapigana, kesho tunagombana, nimechoka
Sitaki kuharibu mwili wangu kwa makovu, nimechoka
Mario, nimechoka
Mario, nimechoka
Matatizo ya leo, matatizo ya kesho, nimechoka
Leo tunapigana, kesho tunagombana, nimechoka
Sitaki kuharibu mwili wangu kwa makovu
Nimechoka
Mario, nimechoka
Nenda utafute kazi, nimechoka na wewe,
oh Mario eh
____________
Neno Mario, lilianzia katika wimbo huu;
Mpaka leo, Marioo ni mtu mzima, anaependa kudate wanawake wenye uwezo ili wamlee/wamuweke mjini.
Umasikini ni mmbaya sana!Umeongea kwa chungu sana niko nalia huku baada ya kusoma hapa 😭😭😭😭
Umasikini una dhalilisha 🙌
Teacher ✍️😅
Ya wapi hii?
Njoo tuzogoe kwa binti wa zamani 😅Ndio ndio. 😁
Ameanzisha uzi? 😁Njoo tuzogoe kwa binti wa zamani 😅
Una jidai hujaona ngoja nikutagAmeanzisha uzi? 😁
Sio najidai, wenda kaanzisha uzi mwingine! Binti wa zamani , ni bingwa wa nyuzi za usiku usiku. 😊Una jidai hujaona ngoja nikutag