Komwee ukitulia huwa una hoja ya msingi sanaa.Nyie mnaojiita wakubwa ndio mlioiharibu hii nchi ndio maana hata vijana wanapenda mteremko kwa majimama ama mishangazi!.
Nchi yenyewe ndo hii kupata kazi mpaka undugu au uhonge!, mtu katoka chuo anapataje fedha ya kuhonga..? Mtu anaambiwa awe na experience ya miaka mitatu!, kaitolea wapi hiyo experience..?
Nyie wa makamu ama wazee mnatembea na binti ambao tunatakiwa sisi tutembee nao mnawapa fedha na kila aina ya mahitaji unafikiri watakuja kwetu kweli..? Hapo wanachotupa sisi ni dharau tu!.
Lawama nyumbani, mtaani na maisha yenyewe yanakupiga vita and then linajitokeza li mshangazi sio kwamba litakufuta machozi yote bali walau hata litakutoa kwenye stress na shida moja mbili tatu litazitatua kwanini usilikubalie..?
We umekaa bungeni kila kikao unalipwa laki tatu hapo ni kwa masaa tu!, na miposho mingi tu wakati huku miamala yao haitozwi kodi!.. mtu huyuhuyu anakuambia ujiajiri!! Mbona yeye hajajiajiri..?
Oya acheni masihara kuna maamuzi watu wanafikia kwasababu ya ugumu wa maisha, utamuambia mtu akalime lakini toka msingi wake hana hiyo elimu ya kilimo hivyo kuangukia pua ni kugusa!.
Vipo vingi sana vyakubadili ili kurekebisha hili la vijana kujihusisha kimapenzi na mishangazi!.
Hehe! Nyie tu ndio huwa mnanichanganya...🤣Komwee ukitulia huwa una hoja ya msingi sanaa.
Kaka sisi turudi kwenye siasa tu kupanga ni kuchagua, wamechagua walichoona sawa kwao.Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli.
Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea lugha kipimo chao.. Nisamehewe😂
Hivi nyie wavulana wa hovyo mna akili timamu kweli au mmerogwa na hawa Mashugamami wa mjini? Maana sio kwa uvivu huu na kupenda mteremko kulikopitiliza!
Kijana una nguvu zako, dume zima, lakini ratiba yako ya siku nzima ni kama mrembo anayejiandaa kwenda kwenye harusi.
Asubuhi upo saluni unafanya scrubbing ya uso na kucha, mchana unaenda gym kubeba chuma ili kutengeneza six packs!
kisa unajiandaa kwenda kuliwaza "shugamami" lako jioni.
Unahongwa ka-IST au ka-Vitz chakavu na bando la chuo, basi unajiona umeyapatia maisha na kuanza dharau mtaani.
Hivi huo si ni ukichaa?.
Ujinga wenu mkubwa ni kudhani kuwa hiyo miili yenu laini haitochoka. Hamjui kuwa ujana ni moshi na unakata chap?
Subiri uanze kuota mvi, uzeeke, au nguvu zako za kiume zianze kusuasua uone cha mtema kuni.
Huyo mama atakupiga chini kama nguo ya deki na kuchukua kibenten kingine kipya chenye pumzi ya moto na nguvu za transformer.
Wewe utarudishwa Uswahilini kwenu kwa miguu, ukiwa huna mbele wala nyuma, huna ujuzi wowote wa kazi, na aibu juu!
Inasikitisha dume zima unanyongwa uhuru wako, unafokewa na kupangiwa muda wa kurudi nyumbani saa kumi na moja jioni kama mtoto wa chekechea.
Utu wenu mmeuza kwa sahani ya chipsi zege na safari za kupiga picha za kuwaringishia masikini wenzenu kule Instagram. Mmekuwa kama chawa au pambo la sebuleni linalosubiri kupanguswa vumbi.
Shtukeni enyi wavulana wa darasa la saba la mapenzi! Tafuteni vya kwenu, vyombo vya kuazima haviendesheki mjini!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hehe! Nyie tu ndio huwa mnanichanganya...[emoji1787]
Vipo vingi sana vyakubadili ili kurekebisha hili la vijana kujihusisha kimapenzi na mishangazi!. 🙏🏿💪🏿Nyie mnaojiita wakubwa ndio mlioiharibu hii nchi ndio maana hata vijana wanapenda mteremko kwa majimama ama mishangazi!.
Nchi yenyewe ndo hii kupata kazi mpaka undugu au uhonge!, mtu katoka chuo anapataje fedha ya kuhonga..? Mtu anaambiwa awe na experience ya miaka mitatu!, kaitolea wapi hiyo experience..?
Nyie wa makamu ama wazee mnatembea na binti ambao tunatakiwa sisi tutembee nao mnawapa fedha na kila aina ya mahitaji unafikiri watakuja kwetu kweli..? Hapo wanachotupa sisi ni dharau tu!.
Lawama nyumbani, mtaani na maisha yenyewe yanakupiga vita and then linajitokeza li mshangazi sio kwamba litakufuta machozi yote bali walau hata litakutoa kwenye stress na shida moja mbili tatu litazitatua kwanini usilikubalie..?
We umekaa bungeni kila kikao unalipwa laki tatu hapo ni kwa masaa tu!, na miposho mingi tu wakati huku miamala yao haitozwi kodi!.. mtu huyuhuyu anakuambia ujiajiri!! Mbona yeye hajajiajiri..?
Oya acheni masihara kuna maamuzi watu wanafikia kwasababu ya ugumu wa maisha, utamuambia mtu akalime lakini toka msingi wake hana hiyo elimu ya kilimo hivyo kuangukia pua ni kugusa!.
Vipo vingi sana vyakubadili ili kurekebisha hili la vijana kujihusisha kimapenzi na mishangazi!.
ukikaa wiki huwaoni una hama chimbo 😂😩🤣Ipo kibao, jichanganye Facebook, mishangazi mingi hapo insta ila TikTok na Facebook sana jitahidi kupita na gym, ukikaa wiki huwaoni una hama chimbo, mwisho kabisa ni vikundi vya mazoezi, kupunguza uzito huko mashangazi ni mengi usipo kua MAKINI yatakuua kabisa
Kwa hali ya sasa, mishangazi wengi hawana hela, vijana chakarikeni kifanya kazi, mishangazi ibaki for fun tu, ila kimasilahi ni wachache sana, ilikua zamaniQuick fact
Katika mishangazi 100 labda inayotoa hela kuwapa Marioo haizidi mi 5.....mishangazi mingi mambo ya mapenzi ni free tu kuliwazana basi
na hata zamani yenyewe ilikuwa ni kipande kidogo tu cha kinondoni,mwananyamala,sinza na makumbusho,,haijawahi kuwa tanzania kote ..labda mshangazi afiwe na mume wake akukaribishe kwenye nyumba yake ila sio kwamba akupe mihelaKwa hali ya sasa, mishangazi wengi hawana hela, vijana chakarikeni kifanya kazi, mishangazi ibaki for fun tu, ila kimasilahi ni wachache sana, ilikua zamani
We have excuses madame😌Same goes to wanawake wanaotembea na wababa!? Au wenyewe wana excuse… kama
sivyo basi na vijana waachwe.
Wajane wa Tunduma na wale wa Kaskazinina hata zamani yenyewe ilikuwa ni kipande kidogo tu cha kinondoni,mwananyamala,sinza na makumbusho,,haijawahi kuwa tanzania kote ..labda mshangazi afiwe na mume wake akukaribishe kwenye nyumba yake ila sio kwamba akupe mihela
Hela ya kula na kuvaa wanatoa, ila mtaji au msingi wa maisha ni wachache sanaa.Quick fact
Katika mishangazi 100 labda inayotoa hela kuwapa Marioo haizidi mi 5.....mishangazi mingi mambo ya mapenzi ni free tu kuliwazana basi