hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
IndeedBinadamu asilimia kubwa huwa wanapata burudani kwenye matatizo ya watu. Akifahamu tu fulani ana tatizo basi stress zake zote kwishaaa
IndeedBinadamu asilimia kubwa huwa wanapata burudani kwenye matatizo ya watu. Akifahamu tu fulani ana tatizo basi stress zake zote kwishaaa
Naomba samare love
Aliyemwambia matatizo yake, baada ya kuyatatua ana msnitch...Naomba samare love
Wavulana hao rafikiMbona hata wanaume mmesema Wana hiyo tabia😂😂
Hapa umemtisha mno. Siyo kila ukishirikisha ume attract negativity. Tatizo laweza kuwa ni yeye pia. Maybe she's too sensitive or insecure. Siyo kila ukishirikisha utarajie positive feedback. Negative feedback can also be useful sometimes.Ndio maana ni vema sana na utafanikiwa kama una jambo zuri wataka kulifanya kaa nalo kimyaa usishirikishe mtu nikisema MTU namaanisha yeyote, ukishirikisha tu usha attract negativity jambo linaharibika.
Just meNo permanent enemies no permanent friends