Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa..
Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe ya Sinza in as far as Malaya's are concerned but nilipo enda sikufanya chochote nikaishia kuona kinyaa tu.. Sio kwamba sikuwahi kwenda Kitambaa before that incident.
Nimewahi but not in the view of buying malaya in my mind so sikuwa na pay sana attention.. Mexico uliopita zaidi ya mara nne nimeenda hapo Kitambaa siku za Ijumaa na jumamosi it ended the same way.. Niliishia tu kukesha sikuondoka na demu yoyote..
Kuna siku nilisema labda because am thinking too much so nikanywa sana siku hiyo ili nisiwe sober labda ningeona kawaida kununua malaya lakini no the drunkenness I got the wiser I became... Leo tena najaribu kwenda kwa mara ya mwisho nione what's is going on.. Ingawa nimepata wazo nikaribu kwenda pale Liquid Pub Leo kuna show ya dudubaya labda wanaweza kuwepo watoto wa chuo cha Uhasibu labda wanaweza kunishawishi...
Kitu kikubwa kinacho nivutia kwa mwanamke ni " Nuru yake ya usoni " pamoja na an impression of innocence. Hapo Kotambaa Cheupe sijaona mwanamke mwenye " Nuru " Usoni.. Wote wana sura yabisi.. Wanaonekana wapo so defeated in life...
So huenda hii ikawa ndio sababu? Wanasaikolojia nipeni jibu..
Pia napenda watoto wa elfu mbili ( 19-20) akizidi sana ( 22-23) ambao ndio wengi wao wanaweza kuwa na sura sense Nuru.. Hawa sijawaona hapo Kitambaa.. Huenda ikawa ndio sababu? Wanasaikolojia mnasemaje?
Wenzangu nyie mnawezaje?
Mpaka natamani niendelee na Hawa " Malaya wa meaning" Wa kusema " Simu yangu imepasuka kioo"